Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Nasikia wameanza kupigiwa simu uko
Una hakika Mkuu na Huyo Mtu alokwambia kwamba wameanza kupiga simu ni yeye alopigiwa au nayeye amesikia kwa mtu aliye ambiwa na rafiki yake ambaye rafiki yake amepata taarifa kwa rafiki yake ambaye nayeye ana rafiki yake sasa huyo rafiki yake amesikia kwa rafiki yake mwingine ambaye ana rafiki yake....😃😃 ukifatilia sana utakuta hii CHAIN.
 
Una hakika Mkuu na Huyo Mtu alokwambia kwamba wameanza kupiga simu ni yeye alopigiwa au nayeye amesikia kwa mtu aliye ambiwa na rafiki yake ambaye rafiki yake amepata taarifa kwa rafiki yake ambaye nayeye ana rafiki yake sasa huyo rafiki yake amesikia kwa rafiki yake mwingine ambaye ana rafiki yake.... ukifatilia sana utakuta hii CHAIN.
hamna alopgiwa smu, mpaka mda uu natype niko bandarini,

hamna kada ambayo wametoa majibu,
 
Hapo wanapachikana kwanza then ndio wawaite na mtaona,

utumishi hawatatoa majina hayo ila wenyewe tpa watawapigia watu CM direct ya kuwa wamefanikiwa kupata kazi.

Haya mshirika mengine yanatumia utumishi km sehemu ya kuzuga tu kwa mkuu ili waonekane wanafuata process kihalali.
Wenzio washapigiwa simu wanaripoti muda huu......kama hujapigiwa ujue kazi umekosa!
Stick na plan B now
 
Je, BANDARI wanamamlaka kubwa kuliko sekretarieti ya ajira?
Yaani watu hupigiwa simu na kuanza kazi then baadae UTUMISHI hutoa majina ya placement.
 
Back
Top Bottom