Kuwa mvumilivu mkuu Muombe MUNGU kama bahati yako utapata tu kunakoendea utaongopewa au utaambiwa kitu ambacho kitakukosesha raha toa mda mambo mazuri yaendelee Boss.kumbe mtu kama ana refa tpa tiar,alafu mbn kuna mfanyakazi wa tpa nliumuulza akasema majibu wanapanga utumishi
Boss naona Tobo hilo kama zote hivi safari hii lazima utoboe mzee wa Umeme.nishakutumia kwenye Meseji zako angalia
Kwaiyo majina awata toa utumishi au ndugu zngu ndio sielew mie
Hizo kazi zenyewe ndio za mishahara kijiko na matusi mengi sio [emoji23][emoji23][emoji23]???
Aisee nimeshaji tune na kilimo na mishe zingine tu wacha nikomae tu.
Sasa kama utumish mbona wamekalia majina yetu mda ote jaman watanaka nin sasa?tpa ndo wanapeleka utumishi, ika m nlskia utumish ndo wanatoa
According to nafasi zilizopita watu walianza kupigiwa simu na TPA waende TPA kuchukua barua zao kisha baada ya week moja au mbili majina yakawa published ajira.go.tz hapo chambua sasa mwenyewe mkuu kipi ni kipi.Kwaiyo majina awata toa utumishi au ndugu zngu ndio sielew mie
nchi hii bila connection hutoboi, ubaya zaidi plug nyingi mbovu sikuhuzi tunaopata shida ni sisi nyaya😁😁😁[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kuna zlzotoka za uhamiaji yaani kama huja refa bora usiende
Ni kweli mzazi ila katika nafasi zote zile walizotoa nyingi wameweka kigezo kigumu kweli kama zile za nafasi 199 wanataka uwe na leseni daraja C,CI na E sasa mie sina kigezo icho mbazo nastaili kutuma ni zile nafasi zilizotoka 4 tuBoss naona Tobo hilo kama zote hivi safari hii lazima utoboe mzee wa Umeme.
rais haitamfkia hii
Hahah...acha tusubir kweli maana kwa kupeana moyo tuko vizuri sanaIla kuna mtu alnambia kuna mambo yameingiliana ila akasema majibu haytazd, mwezi huu, ngj tusubili
Hahah...acha tusubir kweli maana kwa kupeana moyo tuko vizuri sana
Mie hapana vipi wewe?hamjapigiwa simu uko