Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

TPA wanajipaga Madaraka hasa kwenye Huu mchakato wa kuita watu kazini hufanya wao tena na si PSRS bila shaka Ucheleweshaji ni wa TPA na si PSRS ila Wataita tu.
 
Hapo wanapachikana kwanza then ndio wawaite na mtaona,

utumishi hawatatoa majina hayo ila wenyewe tpa watawapigia watu CM direct ya kuwa wamefanikiwa kupata kazi.

Haya mshirika mengine yanatumia utumishi km sehemu ya kuzuga tu kwa mkuu ili waonekane wanafuata process kihalali.
 
Hapo wanapachikana kwanza then ndio wawaite na mtaona,

utumishi hawatatoa majina hayo ila wenyewe tpa watawapigia watu CM direct ya kuwa wamefanikiwa kupata kazi utumishi muda mwingine ni sehemu ya kuzuga tu kule waonekane wanafuata process
Ila TPA Walianza Mapicha picha Tangu kipindi cha Usaili hii Taasisi bado sana asee.
 
Back
Top Bottom