- Thread starter
- #161
ID sio ishu sana Vyeti ndiyo muhimu sijawahi ona wanakazia zaidi ID ila wewe nenda na ID yeyote ambayo itakutamburisha wewe Voter,NIDA,CHUO,BIMA,DRIVING LICENCE n.k ila usije sahau kubeba hata kama hawazingatii sana ila inaweza ikawa kigezo cha makusudi kupunguza watu hapo hapo hasa kama Mzigo utasimamiwa na JESHI.labda tu unisaidie wameomba kila mtu awe na utambulisho, ina maan kad NIDA, na ktambulsho cha kura na kama huna chochote inakuaje apo