Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

iv uko kambn kuna mchujo au amna mbona wanaandika amna mchujo au ni vip asee
 
wamesema tu n usail wa vtendo ila awajaandika kama kuna mchujo
 
afu niulze tu kwenye usaili wa vtendo mnaweza kupewa mtihani uko uko wa kuandka au ni vtendo tu
 
na vp kuna kitambulisho chchte an cha kura huna, reseni huna, labda una cha chuo tu sa utambulisho utautoa wapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kaz yao
Nimejaribu kupitia reply zako nimeshindwa kukuelewa kabisa, psrs wanapata tabu Sana kumbe kwenye kufanyia watu usaili
 
Back
Top Bottom