Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

afu nmeulza tu naomba ufafanuz ina maana kule kuna vtendo na mtihan, au utumish ndo mahojiano
 
Dogo Unamihemko wewe yani maswali yako ya kidarasa la tatu tatu, vitendo si ndo mtihani wenyewe, au mtihani ni nini kwako? Tulia Omba Mungu kila kitu kitakua sawa, don't panic
 
Ivi kweli we upo chuo ?????????
iv we jamaa we unaona kuna habar inausu chuo apa, uo n mteru tu mzee, m nmepga mjibu mwaka jana, saiv napga bachelor degree in .............. sa ay n mamb madog m2 akiulza unajb mbn wapo watu wamesoma na wanafany madudu
 
D

Dah....!! Niwe na mteru kwako mfuasi kabisa wangu???!!! Nitake radhi tafadhali.
 
Wakuu hiv ishawah kutokea kua post inahitaji kwa mfano watu wawili ..ila kutokana na uhitaji wakachukua zaidi ...iv ishawah kutokea ata kwa bahati mbaya.....
 
ujaelewa m ndo nna mteru so ww mkuu tena ninao wa nguvu
Ni hivi mdogo unachoambiwa ndo hiko mimi nishagonga sana hizi interview za utumishi naelewa in and out kwa post za jeshi basi vitendo mtapigwa na taasisi za kijeshi ila oral hupewa PSRS na iko hivi ukiambiwa kuandika basi ni kuandika,vitendo basi ni vitendo tu,oral basi ni oral tu hakuna miujiza usipende kupinga hili tunalokuelewesha security guard wa bandari ni polisi nae huyu ndiyo maana wakataka upite JKT.

Kingine mdogo wangu maisha magumu mtaani umesema upo mwaka wa kwanza sijui sio mingi miaka 3 utarudi mtaani sasa usije fanya kosa kwa fursa kama hii kwa kujiona eti mtoto hata nisipopata nitapata tu ondoa hizo fikra fanya linalowezekana na lililopo ndani ya mikono yako kwa sasa ili usije jutia.

Mwisho mimi post yangu huwa tunaitwa watu 500 hadi 300 kwa nafasi aidha 2 au moja zikifika 3 naonaga nyingi sana na sifanyagi kosa sijisifu nafanyaga vizuri katika hao 500 au 300 mi nachezaga big 4 ila katika Oral bado sijabahatika kuitwa kazini naamini wenda ufinyu wa nafasi au kuna wenzangu wananishinda baadhi ya vigezo mwisho kabisa pengine kamlete imehusika ila sijawahi giv up kama mtoto wa kiume sasa nimepitia comments zako sijakuelewa sasa sijui ni utoto kama mwenyewe unavyojichukulia au ni hiyo Degree unayoisoma inakudanganya ukisahau mtaani kuna degree kibao na nyingine tupo nazo k/koo watu wanauza hadi dawa za mbu jitathmini mdogo wangu na jifunze amini katika kushinda ratio ya 65 kwa 365 ni nzuri sana na hutokuja kutana nayo katika kusaka kwako ajira na pia inabidi uwe smart sana kichwani hasa kwa hayo masomo yako unayoyachukua lasivyo utakuwa unalalamika kila siku PSRS paper zao ngumu.

Namaliza kwa kusema kila la kheri maneno yangu kama hutayafanyia kazi basi Save hii Comment baada ya miaka 3 panapo uhai ukiwa unaisoma utakuwa tayari unaelewa maana yake.
 
Wakuu hiv ishawah kutokea kua post inahitaji kwa mfano watu wawili ..ila kutokana na uhitaji wakachukua zaidi ...iv ishawah kutokea ata kwa bahati mbaya.....
Inawezekana kwa % chache sana Mkuu zinaweza ongezwa au zikapunguzwa nilishawahi ona imeongezwa moja zilikuwa 2 na nilishawahi ona zimepunguzwa yaani zimetangazwa 3 tukapiga Written tukaenda Oral tunagombea 3 ila Post ya kuitwa kazini wakaitwa 2,ko scenario zote zinawezekana mkuu sababu unaweza ambiwa kwamba hazina wakakaza hawana bajeti ya kuwalipa watu au hazina bajeti ikawa vizuri taasisi ikapewa hiyo nafasi iongeze nafasi maana Taasisi huwa inaomba Hazina ndo mlipaji kulinga ana na bajeti yake kwa wakati huo ila kwa hali ilivyo sasa we pambania hizo zilizopo toa hayo matumaini ya kuongezwa kukakufanya u relax.
 
Hasipokuelewa hapa ndo basi tena.
 
nmekuelewa sana mkuu,

Kwa Sasa haiwezekani mkuu, ila zamani ilikuwa inawezekana .., hizo ajira zote zimepewa vibali kwa katibu mkuu wa wizara husika kuongeza mpka wapewe kibali watoe tangazo upya
 
Inawezekana kwa % chache sana Mkuu zinaweza ongezwa au zikapunguzwa nilishawahi ona imeongezwa moja zilikuwa 2 na nilishawahi ona zimepunguzwa yaani zimetangazwa 3 tukapiga Written tukaenda Oral tunagombea 3 ila Post ya kuitwa kazini wakaitwa 2,ko scenario zote zinawezekana mkuu sababu unaweza ambiwa kwamba hazina wakakaza hawana bajeti ya kuwalipa watu au hazina bajeti ikawa vizuri taasisi ikapewa hiyo nafasi iongeze nafasi maana Taasisi huwa inaomba Hazina ndo mlipaji kulinga ana na bajeti yake kwa wakati huo ila kwa hali ilivyo sasa we pambania hizo zilizopo toa hayo matumaini ya kuongezwa kukakufanya u relax.
Hii kitu ni ngumu mno, kwa Sasa haiwezekani mchakato wa ajira una mlolongo wa vibari vingi mno...MPAKA tangazo linatoka linakuwa limepitia sehemu nyingi mno...kuongeza ni mpka mchakato uanze upya na tangazo la kazi litoke upya
 
Ni hivi mdogo unachoambiwa ndo hiko mimi nishagonga sana hizi interview za utumishi naelewa in and out kwa post za jeshi basi vitendo mtapigwa na taasisi za kijeshi ila oral hupewa PSRS na iko hivi ukiambiwa kuandika basi ni kuandika,vitendo basi ni vitendo tu,oral basi ni oral tu hakuna miujiza usipende kupinga hili tunalokuelewesha security guard wa bandari ni polisi nae huyu ndiyo maana wakataka upite JKT.

Kingine mdogo wangu maisha magumu mtaani umesema upo mwaka wa kwanza sijui sio mingi miaka 3 utarudi mtaani sasa usije fanya kosa kwa fursa kama hii kwa kujiona eti mtoto hata nisipopata nitapata tu ondoa hizo fikra fanya linalowezekana na lililopo ndani ya mikono yako kwa sasa ili usije jutia.

Mwisho mimi post yangu huwa tunaitwa watu 500 hadi 300 kwa nafasi aidha 2 au moja zikifika 3 naonaga nyingi sana na sifanyagi kosa sijisifu nafanyaga vizuri katika hao 500 au 300 mi nachezaga big 4 ila katika Oral bado sijabahatika kuitwa kazini naamini wenda ufinyu wa nafasi au kuna wenzangu wananishinda baadhi ya vigezo mwisho kabisa pengine kamlete imehusika ila sijawahi giv up kama mtoto wa kiume sasa nimepitia comments zako sijakuelewa sasa sijui ni utoto kama mwenyewe unavyojichukulia au ni hiyo Degree unayoisoma inakudanganya ukisahau mtaani kuna degree kibao na nyingine tupo nazo k/koo watu wanauza hadi dawa za mbu jitathmini mdogo wangu na jifunze amini katika kushinda ratio ya 65 kwa 365 ni nzuri sana na hutokuja kutana nayo katika kusaka kwako ajira na pia inabidi uwe smart sana kichwani hasa kwa hayo masomo yako unayoyachukua lasivyo utakuwa unalalamika kila siku PSRS paper zao ngumu.

Namaliza kwa kusema kila la kheri maneno yangu kama hutayafanyia kazi basi Save hii Comment baada ya miaka 3 panapo uhai ukiwa unaisoma utakuwa tayari unaelewa maana yake.
labda tu unisaidie wameomba kila mtu awe na utambulisho, ina maan kad NIDA, na ktambulsho cha kura na kama huna chochote inakuaje apo
 
Back
Top Bottom