Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

labda tu unisaidie wameomba kila mtu awe na utambulisho, ina maan kad NIDA, na ktambulsho cha kura na kama huna chochote inakuaje apo
ID sio ishu sana Vyeti ndiyo muhimu sijawahi ona wanakazia zaidi ID ila wewe nenda na ID yeyote ambayo itakutamburisha wewe Voter,NIDA,CHUO,BIMA,DRIVING LICENCE n.k ila usije sahau kubeba hata kama hawazingatii sana ila inaweza ikawa kigezo cha makusudi kupunguza watu hapo hapo hasa kama Mzigo utasimamiwa na JESHI.
 
Hii kitu ni ngumu mno, kwa Sasa haiwezekani mchakato wa ajira una mlolongo wa vibari vingi mno...MPAKA tangazo linatoka linakuwa limepitia sehemu nyingi mno...kuongeza ni mpka mchakato uanze upya na tangazo la kazi litoke upya
Vyema sana Mkuu.
 
Inawezekana kwa % chache sana Mkuu zinaweza ongezwa au zikapunguzwa nilishawahi ona imeongezwa moja zilikuwa 2 na nilishawahi ona zimepunguzwa yaani zimetangazwa 3 tukapiga Written tukaenda Oral tunagombea 3 ila Post ya kuitwa kazini wakaitwa 2,ko scenario zote zinawezekana mkuu sababu unaweza ambiwa kwamba hazina wakakaza hawana bajeti ya kuwalipa watu au hazina bajeti ikawa vizuri taasisi ikapewa hiyo nafasi iongeze nafasi maana Taasisi huwa inaomba Hazina ndo mlipaji kulinga ana na bajeti yake kwa wakati huo ila kwa hali ilivyo sasa we pambania hizo zilizopo toa hayo matumaini ya kuongezwa kukakufanya u relax.
Daaaah ahsante mkuu kwa majibu yako
 
so jesh mzee
ID sio ishu sana Vyeti ndiyo muhimu sijawahi ona wanakazia zaidi ID ila wewe nenda na ID yeyote ambayo itakutamburisha wewe Voter,NIDA,CHUO,BIMA,DRIVING LICENCE n.k ila usije sahau kubeba hata kama hawazingatii sana ila inaweza ikawa kigezo cha makusudi kupunguza watu hapo hapo hasa kama Mzigo utasimamiwa na JESHI.
 
so jesh mzee
Usipende kuwa Mbishi umeambiwa usaili unaohusu ulinzi katika Taasisi za Serikali katika ungwe ya VITENDO wanapewaga kazi mamlaka zinazohusika na upolisi au ujeshi sababu PSRS hakuna expert wa mambo ya UJESHI wala UPOLISI ila ORAL unaenda kutana na JOPO la kutoka TPA wakimix na PSRS katika panelist ya ORAL huwa lazima kuwe na muwakilishi kutoka Taasisi husika wakichanganyika na wa PSRS naamini hata kwenye VITENDO upande wa Hao walinzi watakuwepo Polisi wa TPA na unapozungumzia Polisi wa TPA sio kama walinzi wengine wako kabisa na Kitengo chao yaani Department yao nimesahau wanaitwa geti namba ngapi ndipo hutawanywa kwenye malindo yao.
 
nmekuelewa asant

Point
Ni hivi mdogo unachoambiwa ndo hiko mimi nishagonga sana hizi interview za utumishi naelewa in and out kwa post za jeshi basi vitendo mtapigwa na taasisi za kijeshi ila oral hupewa PSRS na iko hivi ukiambiwa kuandika basi ni kuandika,vitendo basi ni vitendo tu,oral basi ni oral tu hakuna miujiza usipende kupinga hili tunalokuelewesha security guard wa bandari ni polisi nae huyu ndiyo maana wakataka upite JKT.

Kingine mdogo wangu maisha magumu mtaani umesema upo mwaka wa kwanza sijui sio mingi miaka 3 utarudi mtaani sasa usije fanya kosa kwa fursa kama hii kwa kujiona eti mtoto hata nisipopata nitapata tu ondoa hizo fikra fanya linalowezekana na lililopo ndani ya mikono yako kwa sasa ili usije jutia.

Mwisho mimi post yangu huwa tunaitwa watu 500 hadi 300 kwa nafasi aidha 2 au moja zikifika 3 naonaga nyingi sana na sifanyagi kosa sijisifu nafanyaga vizuri katika hao 500 au 300 mi nachezaga big 4 ila katika Oral bado sijabahatika kuitwa kazini naamini wenda ufinyu wa nafasi au kuna wenzangu wananishinda baadhi ya vigezo mwisho kabisa pengine kamlete imehusika ila sijawahi giv up kama mtoto wa kiume sasa nimepitia comments zako sijakuelewa sasa sijui ni utoto kama mwenyewe unavyojichukulia au ni hiyo Degree unayoisoma inakudanganya ukisahau mtaani kuna degree kibao na nyingine tupo nazo k/koo watu wanauza hadi dawa za mbu jitathmini mdogo wangu na jifunze amini katika kushinda ratio ya 65 kwa 365 ni nzuri sana na hutokuja kutana nayo katika kusaka kwako ajira na pia inabidi uwe smart sana kichwani hasa kwa hayo masomo yako unayoyachukua lasivyo utakuwa unalalamika kila siku PSRS paper zao ngumu.

Namaliza kwa kusema kila la kheri maneno yangu kama hutayafanyia kazi basi Save hii Comment baada ya miaka 3 panapo uhai ukiwa unaisoma utakuwa tayari unaelewa maana yake.
 
Wakuu hiv ishawah kutokea kua post inahitaji kwa mfano watu wawili ..ila kutokana na uhitaji wakachukua zaidi ...iv ishawah kutokea ata kwa bahati mbaya.....
Hiki kitu kinawezekana bt inagemea na taasisi hsika mfano mwaka jana TANAPA walitangaza nafasi za PARK RANGERS 150 bt mwezi huu wametoa waliofaulu huo usaili na idadi imeongezeka mpaka 198 bt hii kitu naona imetokea Kama dharura kwahyo tusikremu sana.
 
jaman apa naomba kuulza wameorodhesha ivo vtambulsho sna chochote cha kura,uraia,mkaz,kaz,resen wala pass ya kusafr nna vngne tu vp ivo vya utambulisho ua wanasumbua kwa wale wazoefu msaada ni kule kule security guard
Screenshot_20190526-223532.jpeg
 
jaman apa naomba kuulza wameorodhesha ivo vtambulsho sna chochote cha kura,uraia,mkaz,kaz,resen wala pass ya kusafr nna vngne tu vp ivo vya utambulisho ua wanasumbua kwa wale wazoefu msaada ni kule kule security guardView attachment 1109595
Nenda ofisi ya mwenye kiti wa mtaa wako ukiwa na picha yako ili ukapewe barua ya utambulisho wa mkazi
 
Hiki kitu kinawezekana bt inagemea na taasisi hsika mfano mwaka jana TANAPA walitangaza nafasi za PARK RANGERS 150 bt mwezi huu wametoa waliofaulu huo usaili na idadi imeongezeka mpaka 198 bt hii kitu naona imetokea Kama dharura kwahyo tusikremu sana.
Mkuu ina maana mahitaji yalikua ni 150 ila wamechukua 198?
 
Mkuu ina maana mahitaji yalikua ni 150 ila wamechukua 198?
Yah pia nahisi labda wamefanya hvyo Kwa ajili ya kusambaza askari katka zle hfadhi zao mpya ambazo zinaptkna huko Kagera ktk mapori yaliyopandishwa hadhi.
 
Back
Top Bottom