Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

mzee kuna kwata afu sjui m binafs nljitoa kama kuna mtu albak bas kuna no. ilkosa mtu siitaji wasje kunifatilia, kwata, mwendo wa haraka, heshma, kugeuka, na waltenga magroup matatu ko wangne leo na mwsho kesh na ulkua umat binafs nljtoa nkaona wacha nkasome kwanza, ila kwata nsgeweza
Sasa umeomba nafasi ya ukorokoroni afu unaogopa kwata?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], mzee kitu nmekuja kugundua kitu kama so fani yako, sio cha kukurupukia, mtu kakaa jeshn miaka mitatu mpk kard mtaan ww miez mitatu nay ya kusua sua kwata sielew unaenda pale, ila nlkua nasali sana waulze maswali ili tukutane utumishi [emoji16][emoji16][emoji16] pale utumishi mle ndan pasngetosha ko nlkua nabet
Hivi una umri gani?
 
Hahahaha dogo umeona eeeeh ulihisi tunakuletea zengwe humu kaza sana mdogo wangu Mtaani kugumu sana tengeneza channel mapema sana unless kwa roho yako inaonekana unakata tamaa na unapenda kulalamika mziki wa post 5 watu 1,000 sijui utaweza uvimilia dah haya nakuombea MUNGU akubariki kwenye njia zako.
Mkuu mimi nimo kwenye hili kundi la post 5 majina 747 hapa nawaza huo mtihani sijui watausuka vipi ili kutupunguza accordingly, kwa bahati nzuri usaili umenikuta nipo Dar, ningekuwa kigoma huko nisingepoteza nauli yangu.....ninacho amini wapo waliopo mikoani wenye mawazo kama yangu hivyo yamkini idadi ya watu ikapungua kwa kiasi
 
mzee kuna kwata afu sjui m binafs nljitoa kama kuna mtu albak bas kuna no. ilkosa mtu siitaji wasje kunifatilia, kwata, mwendo wa haraka, heshma, kugeuka, na waltenga magroup matatu ko wangne leo na mwsho kesh na ulkua umat binafs nljtoa nkaona wacha nkasome kwanza, ila kwata nsgeweza
Kumbe wewe ni miongoni mwa waliokimbia.
Nakuonea huruma sana.
Daka ajira kwanza kusoma kupo tu labda usome ili usimamie biashara za mzazi wako.
Tangu 2015 mpaka leo kuna wahitimu lukuki hawana ajira.
 
Mkuu mimi nimo kwenye hili kundi la post 5 majina 747 hapa nawaza huo mtihani sijui watausuka vipi ili kutupunguza accordingly, kwa bahati nzuri usaili umenikuta nipo Dar, ningekuwa kigoma huko nisingepoteza nauli yangu.....ninacho amini wapo waliopo mikoani wenye mawazo kama yangu hivyo yamkini idadi ya watu ikapungua kwa kiasi
Hapo wanaweza hudhuria 300 hadi 400 maana kwa nature ya hiyo TAASISI watu wengi wanaweza kata tamaa kwa kutokuwa na uhakika ukichanganya na mambo yanayoendelea PSRS anyway muhimu kujipanga tu ukiamini wewe ni mmoja wapo mengine yapo tu.
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa waliokimbia.
Nakuonea huruma sana.
Daka ajira kwanza kusoma kupo tu labda usome ili usimamie biashara za mzazi wako.
Tangu 2015 mpaka leo kuna wahitimu lukuki hawana ajira.
Nimtolee mfano kuna jamaa yangu yeye alikatisha masomo alipata kazi kipindi yupo mwaka wa kwanza akastop chuo wenzie walimcheka sana maana alipata kazi mkoani na mshahara around 300 hadi 500 kwa level ya Diploma ila baada ya mwaka jamaa kapata ruhusa ya kurudi chuo na huku wale washikaji watarudi mtaani jamaa anakuja malizia Degree yake akiwa na kazi yake tena Pensionable haya ndiyo maisha yalivyo.
 
Utoto unamsumbua.
Sisi baada ya kumaliza jkt mujibu wa sheria wengi tulilipenda jeshi ila wengi wakasema watarudi jeshi wakimaliza degree. Sasa wamemaliza degree hawahitajiki tena jeshini, na hawana sifa tena hata ya kwenda jkt kwa kujitolea maana system inawaonyesha tayari washapita.
Akili kitu muhimu sana, kama mtu huna akili basi ishi hata kwa mifano au historian za wengine
 
siiogop ila sjui sema, nliis wataulza tofaut au vtendo vya silaha
Ila nilikwambia dogo ujiandae na kwata na kule utaenda kukutana na wanajeshi, ukaniona nakupa ronja za uongo [emoji23] [emoji23] , ila mwanaume wa kweli anapambana akimbii majukumu, sasa wewe umekimbia kwenye interview na namba ulipewa doh hahaahahaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom