Mkuu ukienda utatupa mrejeshoiv iz post wanaita kila alotuma
Usaili wa vitendo kwa kada ya security guard utafanyika mgulani JKT na watakaowafanyia usaili ni wanajeshi wa pale mgulani. Hakuna afisa wa TPA atakayekufanyia usaili mahali popote.naskia wanauska tpa lile n kama eneo tu bas wanaomba
Hakukuwa na watu wenye sifa zaidi yake ndo mana akawa peke yake. Uliona sifa zinazohitajika kwenye hiyo post?? Miaka kadhaa ya uzoefu inahitajikacha ajab angalia principal pilot yko mmoj pek ake
asee nmeitwa kwa apo apo TPA wanaitaj watu 65 interviw tumeitwa 345 kaz ipo nataman ata niende kwa mganga
Usaili wa vitendo kwa kada ya security guard utafanyika mgulani JKT na watakaowafanyia usaili ni wanajeshi wa pale mgulani. Hakuna afisa wa TPA atakayekufanyia usaili mahali popote.
Ukishapita hapo mgulani, utaenda kukutana na maafisa wa PSRS pale jengo la utumishi watakufanyia usaili wa mahojiano.Ukifaulu hapa basi utapewa barua kwenda kuripoti kazini TPA.
Hakikisha usaili wa vitendo mgulani unavaa kimazoezi,ukivaa suti imekula kwako dogo!
Achana na mambo ya kijiweni,fuata maelekezo niliyokupatianaskia wanajesh hawausk kabsaaa wanaofanya n walotuita
Umesikia kwa nani?naskia wanajesh hawausk kabsaaa wanaofanya n walotuita
Hpo Unazungumzia office attendants amaWakuu iv kama ukijikuta kwenye kada ambayo mchujo haupo yan ni oral moja kwa moja inakua inaashiria nn jaman kwa wazoefu!!msaada wenu tfadhal
kwa walowai fanya usailUmesikia kwa nani?
Hiv kwenye kada amabazo wanaitwa kweny oral moja kwa moja bila kupita kwenye mchujo uwa wanaangalia nn hasa mpka inakua ivo au inaashiria nn?msaada kwa anaejua tfadhal
kingereza usiyumbemzee app ulzia kwa wenye experiance ila jpange kingereza mdomom
Wamekizi vigezo wanavyoitajiHiv kwenye kada amabazo wanaitwa kweny oral moja kwa moja bila kupita kwenye mchujo uwa wanaangalia nn hasa mpka inakua ivo au inaashiria nn?msaada kwa anaejua tfadhal
Sasa ww joh mfagizi anaitaji kujua kingelezamzee app ulzia kwa wenye experiance ila jpange kingereza mdomom
ahahahha mzee nyie mko weng nmeona na wadd n wng ndo ivo kwan utumish ua kuna interview ya kiswahlSasa ww joh mfagizi anaitaji kujua kingeleza