Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

naskia wanauska tpa lile n kama eneo tu bas wanaomba
Usaili wa vitendo kwa kada ya security guard utafanyika mgulani JKT na watakaowafanyia usaili ni wanajeshi wa pale mgulani. Hakuna afisa wa TPA atakayekufanyia usaili mahali popote.

Ukishapita hapo mgulani, utaenda kukutana na maafisa wa PSRS pale jengo la utumishi watakufanyia usaili wa mahojiano.Ukifaulu hapa basi utapewa barua kwenda kuripoti kazini TPA.

Hakikisha usaili wa vitendo mgulani unavaa kimazoezi,ukivaa suti imekula kwako dogo!
 
naskia wanajesh hawausk kabsaaa wanaofanya n walotuita
Usaili wa vitendo kwa kada ya security guard utafanyika mgulani JKT na watakaowafanyia usaili ni wanajeshi wa pale mgulani. Hakuna afisa wa TPA atakayekufanyia usaili mahali popote.

Ukishapita hapo mgulani, utaenda kukutana na maafisa wa PSRS pale jengo la utumishi watakufanyia usaili wa mahojiano.Ukifaulu hapa basi utapewa barua kwenda kuripoti kazini TPA.

Hakikisha usaili wa vitendo mgulani unavaa kimazoezi,ukivaa suti imekula kwako dogo!
 
Wakuu iv kama ukijikuta kwenye kada ambayo mchujo haupo yan ni oral moja kwa moja inakua inaashiria nn jaman kwa wazoefu!!msaada wenu tfadhal
 
Hiv kwenye kada amabazo wanaitwa kweny oral moja kwa moja bila kupita kwenye mchujo uwa wanaangalia nn hasa mpka inakua ivo au inaashiria nn?msaada kwa anaejua tfadhal
 
mzee app ulzia kwa wenye experiance ila jpange kingereza mdomom
Hiv kwenye kada amabazo wanaitwa kweny oral moja kwa moja bila kupita kwenye mchujo uwa wanaangalia nn hasa mpka inakua ivo au inaashiria nn?msaada kwa anaejua tfadhal
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom