Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Ulimaliza mujibu au kujitolea? Maana kuna washkaji zangu kama 8 walitoboa mkataba wale wa kujitolea wameomba na wote wameitwa. Nashawishika kusema labda kipaumbele ilikua kwa hao kwanza baadae hao wa mujibu japo tangazo halikubagua hivyo. Ila haya ni mawazo yangu tu.
Mimi ni kwa mujibu, hata mimi nimehisi kama ulivyohisi Mkuu.
Ila tangazo lao halikusema hivyo.
 
naskia interview n watu wa bandarn wajeda awausik apo
Hizo post jamaa wanahusikaga yaani wanapewaga kazi hiyo sina hakika sana ila jiandae kwa namna yeyote ile class na physical fit mkuu maana hiyo post ni ya kiaskari mkuu ikitokea imetokea class class upige fresh na physical fitness upige vizuri.
 
naskia wanauska tpa lile n kama eneo tu bas wanaomba
 
Back
Top Bottom