Umeitwa kada gnijapo nmeitwa ila ckmbuk k2 asee
c ndo io securty guard nlkua mjibu mwaka jan ila ckmbuk maan nmesahau nko napga chuo mzee apa dar na io kamb iko karb 500 nafka
Tangazo lilikuwa n watu wengi sana inaonesha wengi awajaitwa au mtazamo wngu haupo saw ndugu zng
Wamekuita post ngapi mkuu?Nisingeitwa ningezimia maana nilikua naiskilizia ka mpira wa kona
uliomb hujaitwaNisingeitwa ningezimia maana nilikua naiskilizia ka mpira wa kona
asee umekosaje mbona watu wengiNisingeitwa ningezimia maana nilikua naiskilizia ka mpira wa kona
Wamekuita post ngapi mkuu?
Formula; Interview = {weka,kata ,weka weka,kata kata}Hata mm eti kwenye rundo la watu 250 jina langu halipo hadi najiuliza kuna formula gani hapa inatumika.
asee umekosaje mbona watu wengi
assee io wanataka wangap na mmeitwa wangapOperations Clerk kiongoz, vipi wewe?
asee umekosaje mbona watu wengi
assee io wanataka wangap na mmeitwa wangap
Oooh!! Kama mtu ambaye niliweka document zote ila sijawa short listed.