nimeshindwa kushangaa wakat mwigulu akitoa pumba zake wazir mpya wa madin ambae namjua kwa msimamo alikuwa anapiga makofi kwa style ya umagamba ushabiki usio na tija sidhan kama nimeona sahihi maana huwa namuamin sana muhongo . siamin kumpigia makofi pumba za mwigulu na tena kwa mikon miwil umisaidie kama nimeona vibaya
mwigulu tulikuwa nae chuo pale mlimani alikuwa anajiita chief nadhani ni jina alilotoka nalo Mkwawa lakini alikuwa anaonekana dhahiri ni mtu alietoka familia maskini wa kutupa, sa nikiskia hayo makelele yake nakumbuka ule msemo unaosema maskini akipata ...... hulia mbwata.Hiyo mnayoisikia ni mbwataaa
Mwongo we, hakuambiwa afute. aliambiwa asiendelee kutumia maneno yanayoudhi, lakini lisu alishindwa na ikabidi aendelee kuilima serikali kwa lugha ile ile!Lissu nae katoa matusi na kaambiwa afute, katumia neno 'silly'
naona mipasho inatikisa bunge.
Nchemba anasema Mbowe alirudisha gari la zamani kachukua jipya na kali zaidi
Hili ni tatizo kubwa sana ndani ya chama, inaonekana wote wana akili inayofanana...Namhurumia Mzee wangu JK, hana kabisa timu ya wapambanaji.
Budget itapita kama kawaida,hizo kelele ni changamsha genge tu. Tumetaka wabunge vijana sasa tuvumilie usanii wao.
Aisee kumbe Mwigulu Nchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo.
Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish
Wapo sana, ila hawana pesa za kutoa rushwa.hawa watu sijui kulikuwa hamna wagombea wengine kwenye majimbo yao..
Mwigulu na Lissu wanatia aibu sana.
Mheshimiwa Mwigulu nahisi anaupungufu wa akiri maana badala ya kuchangia hoja au kuipinga kageuza kibao na kuanza kuwashambulia wabunge waliopinga na kuwaita shetani haitoshi kaamua kuitupa bungeni bajeti ya upinzani na mwenyekiti kagoma kabisa kupokea mwongozo wowote ule na kuacha wabunge wakigeuza ukumbi wa bunge kuwa comedy,this is silly parliament
Aisee kumbe Mwigulu Nchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo.
Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish