Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Nashukuru sikulifuatilia ilo bunge la hiyo minyukano!
CCM wako pale kutetea maslai ya matumbo yao na si wapiga kura wao!
Nchi iko kwa state of emergence wao wanaleta utani!
 
ccm u make me sick kutetea vitu vya kijinga ambavyo vipo wazi!utekelezaji hakuna,hela zinaendelea kuliwa!tundu lissu u a rigth,this is silly season!
 
Nimesikiliza Bunge la budget kweli lugha zinazotumika mwisho wake naona nchi yetu inaelekea kubaya sana kwa mtu aliyesikiliza bunge na leo jioni utakubaliana na mimi kabisa kuwa maadili ndani ya waheshimiwa wa bunge imeisha na hawajui kama wananchi tunawasikiliza na sii hivyo tu hata nchi za nje wanasikiliza nini kinaendela ndani ya bunge letu. Swali kweli tutafika?
Hawa wabunge wa CCM Mkuu wanadhani Watanzania ni vichaa kama wao, watu wanasikiliza wanachambua mbivu na mbichi!!!! Wabunge wa CCM wanashabikia bajeti ya kuwauwa watu wao wanachekelea na kutukana watetezi wa wanyonge, wangoje hukumu yao iko karibu wasidhani 2015 ni mbali saana!!!!! Huyo Mwigulu ni wa kufuatwa kwao Ilamba tuone kama atapona safari hii!!!!

 
ccm u make me sick kutetea vitu vya kijinga ambavyo vipo wazi!utekelezaji hakuna,hela zinaendelea kuliwa!tundu lissu u a rigth,this is silly season!Mwigulu,si wamekutunza hela ukaona sifa?kwa taarifa yako huku mtaani ndio tunajua Wenye uchungu na hii nchi
 
Aisee kumbe Mwigulu Nchemba hana akili kabisa. Anahitaji kupelekwa Mirembe CCM inakufa anaamua kutupa matope Bungeni kutukana upinzani waigizaji na vichaa na eti wana pepo mtaka vyeo.

Hasira zake nafikiri ni failure kule arumeru. Anataka kurudia yale ya Lusinde arumeru ama kweli CCM imekwisha. Ametupa bajeti ya Upinzani na kuiita rubbish
Heading ya thread imenistua kidogo, nilidhani kachafua hali ya hewa kweli.

Au kafanya kweli kupitia mdomo wake?
 
Mwigulu na Lissu wanatia aibu sana.
Huyo Mwigulu Mchemba, Mhe Komba ndio wenye akili kutetea badget kandamizi???? Badala kutukana kwa nini wasieleze hiyo mikopo wanayochukua wataifanyia nini, wanataka Watanzania tuwe watumwa wa mikopo kama Greece kwenye UROZONE???? Je kwa nini wasieleze matumizi ya serikali sijui safari, semina, posho vyote hivyo vinamsaidia vipi Mtanzania anayelalia mlo mmoja????

 
Kuthibitisha ni jinsi gani hiki chama cha mafisadi kinazidi kufa, Wabunge wake wanadhani Watz na wale wale wa zama hizo!!!!
Huyu Mhe Mwigulu majibu ya ARUMERU hayakumuiingia akilini, hajakaa kutafakali nini kilitokea, hao ndio wabunge wa CCM Mkuu!!!! Watu wameishafunguka na hasa linapokuja swala la maslahi yao, wanakandamizwa na mabajeti kandamizi wananyamaza ila majibu watayatoa kwenye sanduku la kura!!!!!

 
na Kibajaji Lusinde nae leo kaongea pumba tupu, hata point moja hakuna,
wkt anabwabwaja nilikuwa najiuliza hivi jimbo lake halina matatizo? maana ndio mahali muafaka pa kusemea lkn yeye alikuwa anawasema upinzani tu. pole sana kwa wama MTERA.
 
Me nimefikili kitu apa#
ili upinzani upate raha duniani lazima vichaa kama hao wanaolopoka bila kufikiri wawepo sijui nimekosea?
 
Mchango wa "Mhemishiwa" Mwigulu Nchemba budget 2012 ni kichekesho, alivyojibulisha kuwa yeye ni Economist 1 aliyefanya kazi BOT akasahau kuwa ni katika kipindi alichokuwa BOT kulitokea Madudu ya kushangaza hayajawahi kutokea Bank kuu yeyote Duniani.

Alikuwa wapi wakati haya yanotokea, aliweza kusema chochote au alinufaika nayo ndiyo maana sio shida kwake. Kutukana wenzake kuwa wanauchi na madaraka na ile hali yeye anautafututa uwaziri wazi wazi inasikitisha sana is childish and shallow.

Na wala hakuonesha usomi kutupa makaratasi Bungeni ni dharau zisokuwa na maana zinafanywe kwenye vijiwe ni sio kwa watu wanaojadili maendeleo ya nchi, ni hawa hawa walipinga CDM proposal ya Katiba na rais akasupport CDM mweneyekiti wao anawaona BONGO LALA. Machungu aliyonesha kutetea serikali angekuwa anafanya hivyo kutetea maslahi ya wananchi jimboni kwake lingekuwa mbali sana ila cha kusikitisha ni kuwa jimbo lake liko Nyuma sana.

Kama ndio vijana wa CCM hawa tunaelekea AHERA, MUNGU IBARIKI TANZANIA tuepushe na Magamba.
 
God give us Chacha Wangwe_we will give you Mwigulu,Komba,Lusinde and Lukuvi.
 
Wewe hujamuelwa Muheshimiwa hapo alikuwa anaelekeza jinsi budget ya serikali ilivyo tofauti ya upinzani usipotoshe umma wewe.
 
Waache watumie jazba wakidhani wanawachafua CHADEMA kumbe wanajishushia na kuzidi kuzama!!!!
 
Na sio kila mwenye degree first class ana akili,kuna wenye akili ya kukalili,ku DESA,maksi za Ch******* hata kwa wanaume especially wanaojilegeza kutegemeana na lecturer anatokea sehemu gani ya muungano etc hivyo sio ajabu na Mwigulu yuko among hizo groups,mtu mwenye degree 1st Class,aliyeisomea hawezi kuongea pumba kama za huyu jamaa,I hate him.
 
Wewe hujamuelwa Muheshimiwa hapo alikuwa anaelekeza jinsi budget ya serikali ilivyo tofauti ya upinzani usipotoshe umma wewe.

Hakuna swala la kumuelewa Nchemba; ni kichaa asiyejitambua!! Inability to control jis emotions and personalising a matter which is impersonal is a manifestation of mental imbalance to say the least! anawatuhumu wenzie ukichaa while in the act!! kama sio kichaa umuiteje huyu na unataka kuelewa nini zaidi ya kutambua kwamba mwenzetu kahama, kutupa kabrasha si wehu tu?!
 
Bado ana hasira za Arumeru,tumsamehe jamani.Nasikia na Lusinde alipata first class ya Youth behaviour and Problems.kwi kwi kwi kwi kwi!
 
Kumbuka huyu ni mp......zi aneyeongozwa na mwenyekiti dhaifu wa chama cha wap......zi.He is a trash
 
Mwigulu ni dhaifu na wabunge wa ccm wakaufuata udhaifu wake:
Aliposema kusomesha walimu si maendeleo? wakamshangilia lakini wakasahau kuwa kusomesha walimu haiko kwenye development budget, Hoja ya litsu ikuwa kuwa mpango wa maendeleo unasema kila mwaka zitatengwa tr 8.6 kwam bajeti ya maendeleo, lakini sasa imetengwa 4.9!, Pamoja na mwigulu kutaka kutuaminisha kuwa hayo aliyoyajumuisha katika maendeleo yaongezwe kwenye bajeti ya maendeleo, aliishia 33% ambayo ndiyo hiyo 4.95 na siyo 8.6 - wadhaifu wakamshaingilia!
 
Back
Top Bottom