magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
Huyu kijana inaonekana amedanganywa na cheo cha ccm mpaka anakosa hata akili ndogo tu ya kuzaliwa isisyohitaji shule. Atnatia aibu mpaka anakera.
Leo bungeni kaihusisha CHADEMA na mgomo wa madaktari. Akitoa ushahidi wa hoja ya Stella Manyanya ya kuihusisha CHADEMA na mgomo wa madaktari, mwigulu alisema yafuatayo:
1. CHADEMA inahusika kwa vile katika hotuba yao wamesema wanaunga mkono wafanyakazi kupigania haki zao! Je, ccm haiungi mkono watu kupigania haki zao? Wapi hoja ya maana katika hili? Je, mwigulu huuungi mkono wafanyakazi na watanzania kwa ujumla kupigania haki zao?
2. CHADEMA inahusika maana inamjali Dr. Ulimboka kuliko mbunge wao wa Rombo alopata ajali! Mimi sijui ukweli ktk hili. Lkn hebu nihis ni kweli ili nijenge hoja hii. Je, mwigulu kama chadema haimjali mtu mmoja, isimjali yeyote? Kama hawakumjali huyo mmoja, hivo wasimjali yeyote. Kuna logic hapa? Does one wrong justify another? Eti wana JF, hapa kuna logic yoyote yakumfanya mtu mwenye akili kujenga hoja???? Au ndo wataka kuhalalisha mfumo wa sasa wakujuana na kulindana wa ccm? Mwigulu kumbuka pia kwamba vifo vitokanavyo na magonjwa au ajali au majanga ni tofauti na vifo vya kutengenezwa! Hivi vinakera zaidi, na mwanasiasa makini na mwenye akili lazima ahoji hivi. mwigulu mbona watuhaibisha vijana? Kama huna hoja kaa kimya kuliko kutia aibu hizi. Wana JF mshaurini gamba huyu kijana.