Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Mkuu ,

Mie sina chama chochote, ila hili suala lilianza tangu bunge lililopita Dr Slaa alipokuwa akilikataa bungeni. Ila kuna wanaharakati mbali mbali walikuwa wakilisemea hilo. Credits zote ukiwapelekea Chadema unawavunja moyo wale wanaharakati waliokuwa wakilikemea hilo jambo katika matamasha na semina mbali mbali. Serikali ilikuwa haisikilizi tu ila sasa maji yako shingoni ndio wameamua kusikiliza.
Hapo nimekuelewa yaani wapo wanaharakati wengine ambao nao wamechangia kwa kiasi kikubwa ni haki yao nao mchango wao utambulike. Nakubaliana nawe.
 
Kasome mpango wa maendeleo wa miaka mitano ulione hilo, cdm si wamedandia kabla ya watanzania wengi kuupata huo waraka halafu wanajidai ni issue yao! Halafu haohao cdm wenyewe wamepingana kwa hilo. Wananchekesha!
 
Mkuu FF hapo ni politics zinachezwa, mjanja ndo mshindi!! Lets wait and see where it goes!!
 
Mkakati uliowekwa na CDM wa Wabunge kususia posho hakujaleta changamoto tarajiwa kwa wanaotuongoza. Baadala yake tunaona waliochukua umamuzi huo wakikejeliwa bungeni na kusakamwa

Ushauri wangu ni kwa wabunge wa Cdm kuundelea kuchukua posho zao na kwenda kuzitumia kwa shughuli za maendeleo ya wananchi zitakazoonekana. Vilevile kwenda kuwahamasisha wafanyakazi wa serikali hasa wakada ya chini na kati nao wadai mishahara na posho zinazoendana na hizo za wabunge.

Kwa kufanya hivyo kutaipa serikali changamoto ya kufikiria nini cha kufanya au iwalipe wafanyakazi wake mishahara inayoendana na hii ya wabunge (si fikirii kama inauwezo huo) au kuawapunguzia Wabunge mishahara na posho zao ili kuondoa tofauti itakayokuwa inasababisha ugomvi kati ya serikali na watumishi wake wa kada ya chini na kati ambao ndio wengi. Hapa ligic ni rahisi kabisa kama mnaweza kuwalipa wabunge posho na mishahaya ya kiasi hiki kwani na sisi tusipewe kwa uwiano huohuo.
 
umeona mbali,swala si kugomea posho, bali ni kuzichukua hizo posho na kwenda kufanyia shughuli za maendeleo katika jimbo.kama kweli nia ilikuwa ni kuleta maendeleo basi yule mwenye nia ya kweli ataenda kuwaonesha watu wake kile alichopata bungeni na kujadiliana nao nini wafanyie hicho kilichopatikana.
 
Ndiyo maana Zito alisema za kwake zipelekwe Kigoma Development Fund
Lakini hoja ya kugomea bado ni muhimu ili mifumo ya posho katika serikali ifanyiwe review kuondoa posho zisizo na tija kwa sab utaratibu wa mbunge kuzichukua na kupeleka bungeni haupo kisheria
Pia sio wote watakaopokea kwa mtindo huu watazitumia kwa maendeleo ya wananchi
 
Maendeleo hayajawahi kuletwa na posho popote duniani. Walipwe posho ya kutosha ili wapate nguvu ya kulalamika kwamba posho haitoshi
 
Jamani tanzania yetu kwa huu ufisadi zitafika kwa kuzigomea labda wabunge husika wazichukue kwa mikono yao wenyewe wazipeleke
 
tokea uchaguzi mkuu wa 2010 hakuna kitu ambacho kimewagusa wananchi wa kada zote, kuwaangusha CCM na kuwajengan sana CDM kama suala la kutaka posho zipunguzwe. Hivyo ni vyema msiamam wa CDM ukaendelea kuwa huo huo ukisubiri hukumu ya wananchi 2014 na 2015. Kurudi nyuma na kuchukua posho hizo ni kuthibitisha madaia ya wabunge wa CCM kuwa waliotoa wazo hilo na kususia posho walikuwa wakitafuta umaarufu wa kisiasa tu.
 
Ofisi ya Katibu wa Bunge mpaka sasa hawajapokea barua yoyote kutoka CDM ya kukataa posho. Wala hakuna baadhi wanaosusia.
Wabunge wote wanachukuwa posho kama kawaida, zile zilikuwa porojo za Mbowe tu, tena wabunge wengine wa CDM walisema wazi huo sio msimamo wetu ni msimamo wa Mbowe, naona mnajidanganya kwenye hii thread eti wachukue posho halafu zienda jimboni pale hakuna mbunge wa wananchi hata mmoja watu wanaangalia matumbo yao tu
 
Kugomea posho ilikuwa ni kete tu ya kisiasa katika kujipatia umaarufu na haikuwa dhamira ya kisiasa!! Hakika CDM hawakuwa na dhamira ya dhati ya kuzikataa posho. Wangekuwa na dhamira ya dhati wangeisha andika barua rasmi kwa uongozi wa bunge ili kuzikataa. Siasa ndivyo ilivyo wakuu
 
Kugomea posho kulitakiwa kutoe ujumbe huu, kwanza posho ni kubwa mno kwa serikali inayolia kila siku ni maskini na kuendekeza kuombaomba, pili si haki hata kidogo kwa serikali ambayo inalipa kada nyingine ya wafanyakazi wa serikali hiyo hiyo mishahara na posho ndogo sana ikawalipa wabunge na wale wa kada ya juu kiasi kikubwa hivyo. Hii ni kama kuwahonga ili wasiisimaie vizuri katika kutimiza wajibu wake kwa wananchi na hasa wa hali ya chini. Hili la kete ya kisiasa is not an issue here, hiyo hasa ndio kazi ya chama cha siasa na mwana siasa yeyote. Ni jinsi gani hiyo kete imetumika hapa ndio napata tatizo.
 
Habari zenu wanajamvi.

Kikao cha bunge la bajeti viongozi wa CDM bungeni walitaka posho ziondolewe hali iliyoleta mvutano mkubwa baina ya wabunge wa CCM na CDM.Wabunge wa CCM walitaka posho ziongezwe maradufu kwa madai hazitosho hasa ukizingatia wajibu wa wabunge majimboni.ndani ya chama kikuu cha upinzani mambo hayakuwa shwari mbunge wa Maswa Mheshimiwa Shibuda alipinganana na msimamo wa chama chake hali iliyotishia mustakabali wa ubunge wake.kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa F Mbowe mbunge wa Hai alisusia shangingi lake kama ishara ya kupinga posho kubwa walipwazo wabunge na viongozi wengine waandamizi serekalini.Mheshimiwa Zitto aliitaka ofisi ya bunge kupeleka stahili ya malipo ya posho zake kwenye NGO yake Kigoma !.

Hoja za chama kikuu cha upinzani ziliitaadharisha serekali kwamba fedha za posho ni mzigo mkubwa sana,badala ya kuendelea na utaratibu wa kulipana posho mara mbili mbili kwa kazi moja ni vyema serekali ikaelekeza fedha kwenye miradi ya maendeleo.

Kati ya mambo niliyoivulia kofia CDM ni suala la kukataa posho.Bila shaka siko pekee yangu nina amini watanzania wenzangu wote kama si wengi waliunga mkono msimamo wa CDM.

Kikao cha bunge linaloendelea sasa wabunge wawili wa CDM Mheshimiwa Mustafa Akonay mbunge wa Mbulu na Mheshimiwa Joseph Selasini Mbunge wa Rombo walitetea ongezeko la posho kwa madai kwamba wajibu na shughuli za wabunge hayalingani na malipo walipwayo sasa.Wabunge wanakomba mshahara wa tsh 2.3 milioni mbali na posho mbali mbali wanazokomba.Kima cha chini kwa watumishi wa umma ni 150,000/= kwa mwezi,mtumishi huyu hana posho za vikao,hapewi fedha za mafuta na akifikisha umri wa kustaafu kiwango anacholipwa ni kidogo ukilinganisha na kiwango anacholipwa mbunge kila baada ya miaka mitano.

Naomba kujuzwa msimamo wa CDM ulikuwa wa kinafiki au ilikuwa ni aina ya usanii ambao ni jambo la kawaida kwa wanasiasa ?.Nini tofauti ya CCM na CDM maana tumezoea kudanganywa na CCM kumbe CDM nao ni waongo ?.Vipi lile shangingi la Mheshimiwa Mbowe bado limesusiwa ?.Vipi posho za Zitto zinapelekwa wapi ?.
 
Crap! I wonder a brainless to flag a thread and expect intellectuals to contribute!

Groan
 
Kwanza,siungi mkono ongezeko la mshahara wa wabunge,kwani na wao wanatakiwa wau-uishi huu uhalisia wa maisha ulioopo mpaka pale watakapo ibana serikali katika kuinua hali zetu kiujumla.Kushuka kwa thamani ya shilingi yetu,mfumuko wa bei n.k vyote vinaathiri uwezo wetu wa kumudu maisha siku hadi siku,wao si exception kwa namna yyte ile iwayo.
Lakini kwa upande mwingine naona kama umefanya makusudi tu kulifanya hili lionekane U-kigeu geu/weakness ya CHADEMA kwa sababu kilicho kuwa kinapingwa si ongezeko la mshahara bali allowances za vikao ambavyo kimsingi ndiyo kazi yao ya msingi/ofisi yao.Ni bora tukawa na mishara mizuri inayokidhi mahitaji kulingana na muda lakini kusiwe na vi-allowance vinavyo lemaza raia,i stand to be corrected though!

kinachodaiwa na CDM ni POSHO.....Vigeu geu hawa.....niliogopa sana kuwaamini hawa wanasiasa maana chama chochote cha siasa ni kukamata tu dola na kusimamia maslahi yao binafsi, Basi!!!
 
CDM walipinga hii posho hadi kiongozi wa upinzani Mheshimiwa akazira shangingi lake la ukweli Land Cruiser VDJ 200.Zitto akailekeza ofisi ya bunge posho zake zipelekwe kwenye NGO yake.Shibuda akatishiwa kufukuzwa kisa kaenda kinyume na msimamo wa chama ghafla bin vuuu wabunge wa CDM wanalilia ongezeko la posho hii imekaaje ?.

Kwanza,siungi mkono ongezeko la mshahara wa wabunge,kwani na wao wanatakiwa wau-uishi huu uhalisia wa maisha ulioopo mpaka pale watakapo ibana serikali katika kuinua hali zetu kiujumla.Kushuka kwa thamani ya shilingi yetu,mfumuko wa bei n.k vyote vinaathiri uwezo wetu wa kumudu maisha siku hadi siku,wao si exception kwa namna yyte ile iwayo.
Lakini kwa upande mwingine naona kama umefanya makusudi tu kulifanya hili lionekane U-kigeu geu/weakness ya CHADEMA kwa sababu kilicho kuwa kinapingwa si ongezeko la mshahara bali allowances za vikao ambavyo kimsingi ndiyo kazi yao ya msingi/ofisi yao.Ni bora tukawa na mishara mizuri inayokidhi mahitaji kulingana na muda lakini kusiwe na vi-allowance vinavyo lemaza raia,i stand to be corrected though!
 
CUF, TLP, Jahazi Asilia wao vipi! ?

Wanasiasa wote wanafanya "guter politics" hasa hapa nchini kwetu TZ. Katika vyama ulivyovitaja, vyote hivyo vimemezwa na CDM!! REV, unajua CDM wakituliza mawenge/hasira/Jazba; hakika wana hoja na wanakubalika lakini wamesahau kuwa hao hao wananchi wanaowaita nguvu ya Umma isiyodanganyika, waelewa ndio hao hao watazamaji wenye uwezo wa kupima na kuona wanakopelekwa na CDM, kama ni wanatumia njia sahihi kudai haki zao au wanapelekwa putaputa ilimradi wanasiasa watekeleze matakwa yao binafsi!!!!
 
Back
Top Bottom