Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Nimekua nikijiuliza kila siku bila kupata majibu sababu za wabunge hususan wa chadema wakiongozwa na mbowe kutoonesha dhana ya uwajibikaji wa pamoja kwa vitendo;....

Wakati mbunge kijana ZITTO KABWE alipogomea kupokea posho ya kukaa kitako kwa vitendo licha ya vitisho vya spika kwamba atapoteza ubunge wake kwa kutoweka saini ya kupokea pesa hizo haramu wabunge wengine wa chama cha ZITTO wakiongozwa na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamekua wakionekana kwenye dirisha la mhasibu wa bunge wakipanga foleni dirishani hapo kuchukua fedha hizo haramu.

Je ni kwanini mbowe hakuitumia kofia yake ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kumuunga mkono Zitto na kushawishi kambi nzima ya upinzani kugomea posho hiyo haramu na badala yake kusisitiza pesa hiyo kama ipo na haina kazi ipelekwe kwenye sekta ya afya inakohitajika sana?

Nawasalisha.

Huu utumbo mleta mada ameisha uleta neno kwa neno humu jamvini, he MUST be under influence of somthing: banghe, mdudrushwa, mapowder, gubeli, mirungi n.k
 
Haihitaji sayansi ya rocket kujua kuwa kinachopingwa na CHADEMA ni "mfumo" wa kulipa posho hizo. Kila mmoja anayepinga anaweza kuchukua hatua zake mwenyewe. Ndio Zitto akachukua hatua alizochukua. Hata huko CCM kuna watu waliwahi na wako na msimamo tofauti wa kichama. Walichukua hatua zao na kila mtu anajua walichokipata. Marehemu Kolimba ni mmoja wao.

Mfumo ni zaidi ya mtu mmoja mmoja!! Inatosha kabisa kupinga mfumo. Hata Mbowe akigomea hizi pesa, bila shaka utahoji kwanini Lissu na wengine hawajafanya hilo. Ili hao nao wasistahili, kubadilisha mfumo au sera hiyo ni muhimu zaidi kuliko Zitto na Makamba!
 
Wana Chadema wote mlioko huku jamvini huyu mtoa mada ni adui mkubwa wa CDM.Puuzeni hoja zake zote.Ni mtu mwenye hila chafu sana na CDM kupitia mtandaoni.Adhabu yake moja tu ni kwamba post yoyote atakayoleta hapa jamvini isomeni halafu MPUUZENI.
 
kuna watu walikua wanaiulizia uko wapi,ulichanganya na mungine wa zamani mbowe akitoa ufafanuzi bungeni,sasa nikaona niulete tena kwa kuwa nilikua na copy kwenye maktaba yangu ili niwatendee haki na wao watoe mawazo yao.
 
Wana Chadema wote mlioko huku jamvini huyu mtoa mada ni adui mkubwa wa CDM.Puuzeni hoja zake zote.Ni mtu mwenye hila chafu sana na CDM kupitia mtandaoni.Adhabu yake moja tu ni kwamba post yoyote atakayoleta hapa jamvini isomeni halafu MPUUZENI.

kwa hiyo mnataka kila siku tuwe tunaiongolea ccm na watu wake tu,chadema hapana,kwanini lakini hamtaki chadema ipate publicity?
 
Mbowe ni mfanyabiashara wa kichaga, ametumwa hela!
 
kim ni mnafiki mkubwa na ni muumini wa siasa za udini na fisadi kama hatembei na fisadi.
anaona chadema imetulia na mipango yake inapangika kila siku ila kwa sababu ni kama mchawi hataki kuona jirani watoto ni wazima na wanaenda shule.

mpuuzeni kama alivyo mpuuzi.

anafahamu kuwa kupinga posho ni sera ya chadema na ilianzishwa na dr slaa wakati akiwa bungeni ila kwa vile anaona lichama lake liko icu kama kawaida ya mchawi anataka kuona chadema ikiwa hata opd.

alie tu huyo aliyemtuma na kumlipa kila post ya kuiponda cdm sh 2000 yeye mwenyewe yameshamshuka sasa hivi anatafuta msaada kwa watumishi wa mungu.
 
Wakati mbunge kijana ZITTO KABWE alipogomea kupokea posho ya kukaa kitako kwa vitendo licha ya vitisho vya spika kwamba atapoteza ubunge wake kwa kutoweka saini ya kupokea pesa hizo haramu wabunge wengine wa chama cha ZITTO wakiongozwa na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamekua wakionekana kwenye dirisha la mhasibu wa bunge wakipanga foleni dirishani hapo kuchukua fedha hizo haramu.

Wameacha kuwekewa kwenye account zao?
 
Hoja ni posho! Ukianza kujadili mtu na kuacha hoja unakuwa hauna tofauti na Job Ndugai ambaye alianza kusema kuwa Sumaye hana usafi wa kuhoji posho, badala ya kujibu hoja ya Sumaye kuwa ni kweli posho za wabunge ni kubwa! The same ukianza kukwepa hoja ya Zitto kuwa posho zifutwe, badala yake ukaanza kuangalia na kusema mbona Mbowe anachukua, utakuwa hujajibu hoja ya Zito. Kwa ufupi posho zikifutwa, automatically hata ya Mbowe itafutwa, lakini Mbowe asipochukua posho kama Zitto, bado hoja itabaki pale pale, "wabunge wengine je?", utahamia kwa T. Lissu, akiacha kupokea utahamia kwa Mnyika, Shibuda etc hadi kwa Mnyaa. Sasa kwa nini ujiumize kudeal na mtu mmoja mmoja badala ya wabunge wote as a group?
 
Haihitaji sayansi ya rocket kujua kuwa kinachopingwa na CHADEMA ni "mfumo" wa kulipa posho hizo. Kila mmoja anayepinga anaweza kuchukua hatua zake mwenyewe. Ndio Zitto akachukua hatua alizochukua. Hata huko CCM kuna watu waliwahi na wako na msimamo tofauti wa kichama. Walichukua hatua zao na kila mtu anajua walichokipata. Marehemu Kolimba ni mmoja wao.

Mfumo ni zaidi ya mtu mmoja mmoja!! Inatosha kabisa kupinga mfumo. Hata Mbowe akigomea hizi pesa, bila shaka utahoji kwanini Lissu na wengine hawajafanya hilo. Ili hao nao wasistahili, kubadilisha mfumo au sera hiyo ni muhimu zaidi kuliko Zitto na Makamba!

Exellent!unajua mkuu watu wanashindwa kuelewa,tatizo hapa ni mfumo,si swala la mtu mmoja mmoja,kugomea.na hiyo sitting allowance si kwa wabunge tu bali ktk idara zote serikali.big up mbowe!.
 
kamanda kwa hiyo unataka kusema dogo yanaweza kumkuta kama ya chacha wange,maana ya chacha na kolimba ni kama yanalingana lingana hivi.mungu apishie mbali usiwe na maana hiyo kaka.

Unaposema "mfumo"wakati watu wanpokea pesa ambayo tungeweza kuwapa madaktari una maanisha nini?na pia kilichotakiwa sio zitto au yeyote kuachiwa peke yake bali kiongozi awaongoze wabunge wote kugoma na kususia vikao kama kipindi kile aliwaongoza kutoka bungeni siyo yeye anapokea zitto ndio anagoma,wabunge wengine watajali kugoma kwa zitto wakati bosi wanasaini nae kuchukua?
 
kim ni mnafiki mkubwa na ni muumini wa siasa za udini na fisadi kama hatembei na fisadi.
anaona chadema imetulia na mipango yake inapangika kila siku ila kwa sababu ni kama mchawi hataki kuona jirani watoto ni wazima na wanaenda shule.

mpuuzeni kama alivyo mpuuzi.

anafahamu kuwa kupinga posho ni sera ya chadema na ilianzishwa na dr slaa wakati akiwa bungeni ila kwa vile anaona lichama lake liko icu kama kawaida ya mchawi anataka kuona chadema ikiwa hata opd.

alie tu huyo aliyemtuma na kumlipa kila post ya kuiponda cdm sh 2000 yeye mwenyewe yameshamshuka sasa hivi anatafuta msaada kwa watumishi wa mungu.

Mzee hii sera yenu mnaitekelezea chumbani nini maana huku site hamuonekani kumaanisha mnachokisema kila mtu anajua posho ya kukaa kitako wote huko kasoro zitto tu mnachukua,sasa mnapinga vipi posho wakati mwenyekiti ndio anaongoza mashambulizi ya kuchukua posho?ina maana katibu na mwenyekiti wanatofautiana katika suala la posho?maana umasema vizuri sana kwamba katibu ndio alianzisha upinzani dhidi ya posho lakini mwneyekiti posho anachukua naibu katibu ndio amegomea pengine kuunga mkono harakati alizoanzisha katibu slaa akiwa bungeni kama ulivosema wewe...
 
Exellent!unajua mkuu watu wanashindwa kuelewa,tatizo hapa ni mfumo,si swala la mtu mmoja mmoja,kugomea.na hiyo sitting allowance si kwa wabunge tu bali ktk idara zote serikali.big up mbowe!.

sijakuelewa unampa big up ya nini sasa,kwa kuchukua posho kupingana za zitto au?be specific tuelewe
 
Hoja ni posho! Ukianza kujadili mtu na kuacha hoja unakuwa hauna tofauti na Job Ndugai ambaye alianza kusema kuwa Sumaye hana usafi wa kuhoji posho, badala ya kujibu hoja ya Sumaye kuwa ni kweli posho za wabunge ni kubwa! The same ukianza kukwepa hoja ya Zitto kuwa posho zifutwe, badala yake ukaanza kuangalia na kusema mbona Mbowe anachukua, utakuwa hujajibu hoja ya Zito. Kwa ufupi posho zikifutwa, automatically hata ya Mbowe itafutwa, lakini Mbowe asipochukua posho kama Zitto, bado hoja itabaki pale pale, "wabunge wengine je?", utahamia kwa T. Lissu, akiacha kupokea utahamia kwa Mnyika, Shibuda etc hadi kwa Mnyaa. Sasa kwa nini ujiumize kudeal na mtu mmoja mmoja badala ya wabunge wote as a group?

mbowe kama kiongozi wao pale bungeni angewwaongoza wote kuwa na msimamo wa pamoja kugomea posho,hii ingewapatia umaarufa sana kisiasa na nakawambia ingefutwa sasa kulegea kwa mbowe kumewapa kichwa,ndio mana nilitaka slaa arudi bungeni,kuna pengo pale
 
Unajua nchi hii imefikia pahala pabaya sana kwa ushabiki wa k.i.p.p.u.u.z.i wa siasa za maji taka,watu hawataki ukweli ujulikane hasa kama anaehusika ni mtu wanaempenda,hapa kuna tatizo lakini watu kwa ushabiki wanajaribu kushut down hoja na mods nao sijui wamelewa na nini wanaingia kichwa kichwa na kuizima hii hoja nimeiwasilisha ikiwa inajitegemea KWANINI MBOWE HAKUGOMEA POSHO,Lakini mtu anaamua kuichanganya na hoja nyingine ya sijui "mbowe aweka msimamo wa posho".!hivi mnataka kuficha nini wakati hili ni tatizo inabidi tulijadili hapa kwa kuwa ni house of great thinker na wahusika tunao uhakika wanaingia hapa,kama tunalipenda taifa lenu kuliko vyama ambavyo ni sawa na makoti ambayo tunaweza kuyavua any time tuwe fair,hakukua na sababu zozote za msingi kwa mods kuchanganya hizi thread...

Mkuu kuna shida hapa.
 
Nimekua nikijiuliza kila siku bila kupata majibu sababu za wabunge hususan wa chadema wakiongozwa na mbowe kutoonesha dhana ya uwajibikaji wa pamoja kwa vitendo;....

Wakati mbunge kijana ZITTO KABWE alipogomea kupokea posho ya kukaa kitako kwa vitendo licha ya vitisho vya spika kwamba atapoteza ubunge wake kwa kutoweka saini ya kupokea pesa hizo haramu wabunge wengine wa chama cha ZITTO wakiongozwa na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamekua wakionekana kwenye dirisha la mhasibu wa bunge wakipanga foleni dirishani hapo kuchukua fedha hizo haramu.

Je ni kwanini mbowe hakuitumia kofia yake ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kumuunga mkono Zitto na kushawishi kambi nzima ya upinzani kugomea posho hiyo haramu na badala yake kusisitiza pesa hiyo kama ipo na haina kazi ipelekwe kwenye sekta ya afya inakohitajika sana?

Nawasalisha.
Unapotunga uongo kama huu hakikisha unakuwa mwangalifu, mbona posho za wabunge hazitolewi dirishani kwa mhasibu kama unavyoeleze wewe! wacha majungu yasiyo na maana wewe! mtu mzima ovyooo!
 
Back
Top Bottom