Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Kile kichwa kipo safi, nina uhakika wabunge wote mioyo ya imemkubali hata wale wa ccm ile uchama ndio unawazuia kukubali kivitendo

umeme really sucks!!nimepitwa na mijadala hadi bunge...so sad!!

Hii ni nchi inayoongozwa na watu wenye mtazamo wa hali ya chini kabisa! Yaani hawana vision na hawajui nini kinaendelea hapa nchini. Na tatizo ni kwa viongozi ambao hawajui njia ya kutongoza. Ni vipofu halafu ndio wanaotuongoza njia! Nenda Rwanda kanchi kadogo ambako juzi tu walichinjana sana na uone sasa walivyo serious na walivyoendela! Sisi ni wasindikizaji tu shauri ya viongozi wetu hawajui watupeleke wapi. How do you explain the fact kwamba wafadhili wetu woye husafiri na economy class na viongozi wetu wanajua hilo lakini bado wanaendelea kusafiri na first class? Ni utaahira? Ni laan? No wonder wafadhili wanatudhara

Mkuu wadhania hawa jamaa viongozi wetu i mean hawayajui haya wao wanachotaka ni kututawala kwa mabavu na ndio wanavyo fanya kwa visingizio oooh Baba wa Taifa katuachia nchi yenye neema na Utulivu na Amani kweli hii ni akili mliwachiwa nchi yenye uwezo na Viwanda nchi gani itajiendesha bila viwanda vyake tumekuwa tegemezi la nchi za magharibi na kuituhumu IMF na WB kila kukicha huku hatujui jinsi ya kukusanya kodi zetu za ndani nchi imegeuzwa kuwa ya kundi la wahuni fulani wajanja tuu na kuwa wanayang'anyi kwa wananchi,

Frankly speaking viongozi waserikali wanajua fika na wanapo tupeleka na Tamaa zao mbay na kuwa na umaskini wa fikra zao wakidhani sie ni madodoki siku zao zina hesabika na wao ndio watakao kuwa wa kwanza kimbia hii nchi ngojeni tu kama hali hii itaendelea ndio mwisho wao unagota sasa

Majuzi tumeambiwa nchi yetu(Tanzania) ni miongoni mwa nchi 7 afrika ambazo serikali zake zime kula rushwa toka nchi magharibi kwa kuuza Aridhi za wazawa sasa mwategemea nini vichwa vyao hawa mpaka wana uza aridhi hamuoni ni kusudi hilo. http://www.nairaland.com/nigeria/topic-689028.0.html

Someni hapo mjue mengi ya Serikali yenu mbali na hizo Posho

US universities in Africa 'land grab'
Institutions including Harvard and Vanderbilt reportedly use hedge funds to buy land in deals that may force farmers out

John Vidal and Claire Provost
guardian.co.uk,    Wednesday 8 June 2011 20.18 BST

US universities are reportedly using endowment funds to make deals that may force thousands from their land in Africa
Harvard
and other major American universities are working through British hedge
funds and European financial speculators to buy or lease vast areas of
African farmland in deals, some of which may force many thousands of
people off their land, according to a new study.

Researchers say
foreign investors are profiting from "land grabs" that often fail to
deliver the promised benefits of jobs and economic development, and can
lead to environmental and social problems in the poorest countries in
the world.

The new report on
land acquisitions in seven African countries suggests that Harvard,
Vanderbilt and many other US colleges with large endowment funds have
invested heavily in African land in the past few years. Much of the
money is said to be channelled through London-based Emergent asset
management, which runs one of Africa's largest land acquisition funds,
run by former JP Morgan and Goldman Sachs currency dealers.

Researchers
at the California-based Oakland Institute think that Emergent's clients
in the US may have invested up to $500m in some of the most fertile
land in the expectation of making 25% returns.

Emergent said the
deals were handled responsibly. "Yes, university endowment funds and
pension funds are long-term investors," a spokesman said. "We are
investing in African agriculture and setting up businesses and employing
people. We are doing it in a responsible way … The amounts are large.
They can be hundreds of millions of dollars. This is not landgrabbing.
We want to make the land more valuable. Being big makes an impact,
economies of scale can be more productive."

Chinese
and Middle Eastern firms have previously been identified as "grabbing"
large tracts of land in developing countries to grow cheap food for home
populations, but western funds are behind many of the biggest deals,
says the Oakland institute, an advocacy research group.

The
company that manages Harvard's investment funds declined to comment.
"It is Harvard management company policy not to discuss investments or
investment strategy and therefore I cannot confirm the report," said a
spokesman. Vanderbilt also declined to comment.

Oakland said
investors overstated the benefits of the deals for the communities
involved. "Companies have been able to create complex layers of
companies and subsidiaries to avert the gaze of weak regulatory
authorities. Analysis of the contracts reveal that many of the deals
will provide few jobs and will force many thousands of people off the
land," said Anuradha Mittal, Oakland's director.

In
Tanzania, the memorandum of understanding between the local government
and US-based farm development corporation AgriSol Energy, which is
working with Iowa University, stipulates that the two main locations –
Katumba and Mishamo – for their project are refugee settlements holding
as many as 162,000 people that will have to be closed before the $700m
project can start. The refugees have been farming this land for 40
years.

In Ethiopia, a process of "villagisation" by the
government is moving tens of thousands of people from traditional lands
into new centres while big land deals are being struck with
international companies.

The
largest land deal in South Sudan, where as much as 9% of the land is
said by Norwegian analysts to have been bought in the last few years,
was negotiated between a Texas-based firm, Nile Trading and Development
and a local co-operative run by absent chiefs. The 49-year lease of
400,000 hectares of central Equatoria for around $25,000 (£15,000)
allows the company to exploit all natural resources including oil and
timber. The company, headed by former US Ambassador Howard
Eugene Douglas, says it intends to apply for UN-backed carbon credits
that could provide it with millions of pounds a year in revenues.[/color]

In
Mozambique, where up to 7m hectares of land is potentially available
for investors, western hedge funds are said in the report to be working
with South Africans businesses to buy vast tracts of forest and farmland
for investors in Europe and the US. The contracts show the government will waive taxes for up to 25 years, but few jobs will be created.

"No
one should believe that these investors are there to feed starving
Africans, create jobs or improve food security," said Obang Metho of
Solidarity Movement for New Ethiopia. "These agreements – many of which
could be in place for 99 years – do not mean progress for local people
and will not lead to food in their stomachs. These deals lead only to
dollars in the pockets of corrupt leaders and foreign investors."

"The
scale of the land deals being struck is shocking", said Mittal. "The
conversion of African small farms and forests into a
natural-asset-based, high-return investment strategy can drive up food
prices and increase the risks of climate change.

Research by the World Bank and others suggests that nearly 60m hectares – an area the size of France – has been bought or leased by foreign companies in Africa in the past three years.

"Most
of these deals are characterised by a lack of transparency, despite the
profound implications posed by the consolidation of control over global
food markets and agricultural resources by financial firms," says the
report.

"We have seen cases of speculators taking over
agricultural land while small farmers, viewed as squatters, are forcibly
removed with no compensation," said Frederic Mousseau, policy director
at Oakland, said: "This is creating insecurity in the global food system
that could be a much bigger threat to global security than terrorism.
More than one billion people around the world are living with hunger.
The majority of the world's poor still depend on small farms for their
livelihoods, and speculators are taking these away while promising
progress that never happens."

http://www.guardian.co.uk/world/2011/jun/08/us-universities-africa-land-grab

http://edition.cnn.com/2011/WORLD/africa/06/11/africa.land.report/

To get a complete report on these land deals visit www.oaklandinstitute.org

Alafu NGO zikisema rais wetu analalamika oooh mwaenda kusema nchi yetu mabaya na hayo ya viongozi wako tena watendaji wanauza aridhi ya watanzania tena maskini we JK unaona ni sawa sindio?

Huwa simfagilii huyu jamaa (mbowe) ila hapa kasema ukweli. big up mbowe.

Majina ya watu huwa yanaanza na capital letter, mfano, Mbowe with a capital "M" na sio with a small letter "m".

Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na Mkuu wa idara ya saikolojia na taaluma ya mitaala Dkt. Kitila
Mkumbo,amesema kuwa wakati huu ndio mwafaka kwa nchi kusimamia uwajibikaji kwa ajili ya maendeleo ya taifa.Dkt alitoa kauli hiyo jana wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi vyeti wanafunzi ambao ni wanachama wa chama cha Demkrasia na maendeleo (CHADEMA),tawi la chuo kikuu Dar es salaam(CHASO-UDSM) ambapo yeye ni mlezi wa wanafunzi hao.

Mkuu hii habari huenda haijakamilika. Mbona sioni ameongelea vipi posho? Napenda kusikia sauti yake juu ya posho za vikao, kujikimu, viburudisho, ubunge, mkopo wa wabunge, responsibility allowance ya wenyeviti wa kamati za bunge, nk.

Dkt Mkumbo alienda mbali zaidi na kwa kuungana na uamuzi wa kambi ya upinzani kukataa posho huku akiziita wizi wa mchana ulioruhusiwa.Aliwaambia vijana hao kuwa wasomi wengi wa ngazi ya chini wanasumbuliwa na tatizo la ujuzi hasa katika eneo la mawasiliano hususani lugha ya kiingereza.Alisema swala hilo ni muhimu vinginevyo mmekwisha sokoni.Akito nasaha zake kwa wanafunzi hao katika ukumbi nje kidogo ya hosteli ya mabibo,Dkt mkumbo alisema vijana hao wanapaswa kuwajibika kwa taifa kwa kufanya kazi kwa uadilifu huku mara zote wakijitahidi kuwa nasifa za ziada katika uwajibikaji wao,kitu ambacho kitawajengea heshima na ufanisi katika utendaji kazi katika soko la ajira ambalo kwa sasa linachangamoto nyingi/////

source gazeti la majira tarehe 27/06/2011

Posho zetu! Bunge letu! Tulizikuta na tutaendelea kuzitafuna! Kama hupendi tafuta bunge lako ambalo linakataza posho tuache wenzako tujimanulile.kafe mbele!!!

Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na Mkuu wa idara ya saikolojia na taaluma ya mitaala Dkt. Kitila
Mkumbo,amesema kuwa wakati huu ndio mwafaka kwa nchi kusimamia uwajibikaji kwa ajili ya maendeleo ya taifa.Dkt alitoa kauli hiyo jana wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi vyeti wanafunzi ambao ni wanachama wa chama cha Demkrasia na maendeleo (CHADEMA),tawi la chuo kikuu Dar es salaam(CHASO-UDSM) ambapo yeye ni mlezi wa wanafunzi hao.

Jamani hapo kwenye red:
1. Wakati muafaka kwa serikali kusimamimia uwajibikaji wa maendeleo ya nchi yetu mimi nilidhani kuwa ni tangu tumepata uhuru!
2. Tusiwe tunatoa loop-holes za kiufanya serikali idhani kuwa kutokuwajibika kwake jana hakuna negative "impacts" na "connotations" kwa wananchi, na kuwa serikali
inatakiwa kuwajibika vizuri zaidi kuanzia "sasa" na si jana.
3. Majukwaa ya public pamoja na media watu wayatumie vizuri na si kuongea tu sababu kuna waandishi wa habari pale pamoja na kamera zinapiga picha. That statement in red colour doesn't really bring sense to me, hasa ukizingatia kuwa imetolewa na mtu ambaye anadiwa kuwa ni msomi aliyebobea!

Mkuu hii habari huenda haijakamilika. Mbona sioni ameongelea vipi posho? Napenda kusikia sauti yake juu ya posho za vikao, kujikimu, viburudisho, ubunge, mkopo wa wabunge, responsibility allowance ya wenyeviti wa kamati za bunge, nk.

Nadhani kuna haja ya kutofautisha hizi posho, kuna posho haziepukiki(mfano per diems) na ni lazima zilipwe ili serikali ifanye kazi yake kwa ufanisi( MKJJ ameelezea vizuri sana hii na jinsi ya kuweka standard rates kwenye moja ya makala zake). Huu utitiri wa posho kwa kweli unachefua, ila ni muhimu kuzitenganisha ili wale maopportunist wasipate pa kushikilia wakati wanatetea uozo huu.

Ngoja nitafute gazeti nilisome. Kichwa cha habari kinasema posho lakini tunaongelea uwajibikaji!

Mkuu hapa per diem pia zipo za haramu! Waziri ama KUB ana nyumba Dodoma per diem ya nini? Mbunge wa Dodoma mjini per diem ya nini?

Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na Mkuu wa idara ya saikolojia na taaluma ya mitaala Dkt. Kitila
Mkumbo,amesema kuwa wakati huu ndio mwafaka kwa nchi kusimamia uwajibikaji kwa ajili ya maendeleo ya taifa.Dkt alitoa kauli hiyo jana wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi vyeti wanafunzi ambao ni wanachama wa chama cha Demkrasia na maendeleo (CHADEMA),tawi la chuo kikuu Dar es salaam(CHASO-UDSM) ambapo yeye ni mlezi wa wanafunzi hao.

Mkuu nimesoma habari yako lakini sijaona maswala ya posho anywa way napita tu....

Jamani hapo kwenye red:
1. Wakati muafaka kwa serikali kusimamimia uwajibikaji wa maendeleo ya nchi yetu mimi nilidhani kuwa ni tangu tumepata uhuru!
2. Tusiwe tunatoa loop-holes za kiufanya serikali idhani kuwa kutokuwajibika kwake jana hakuna negative "impacts" na "connotations" kwa wananchi, na kuwa serikali
inatakiwa kuwajibika vizuri zaidi kuanzia "sasa" na si jana.
3. Majukwaa ya public pamoja na media watu wayatumie vizuri na si kuongea tu sababu kuna waandishi wa habari pale pamoja na kamera zinapiga picha. That statement in red colour doesn't really bring sense to me, hasa ukizingatia kuwa imetolewa na mtu ambaye anadiwa kuwa ni msomi aliyebobea!

Habari haijakamilika. Tafuta Gazeti la Majira usome upate context ya hoja zangu vizuri. Sikuongelea uwajibikaji katika context ya serikali. Nilikuwa nawaasa vijana juu ya umuhimu wa kuwajibika kikamilifu kitaaluma na kitaalamu, kuchapa kazi kwa bidii na kuachana na kasumba iliyoanza kujengeka nchini mwetu ya kutaka mafanikio kwa njia ya ujanjaujanja na njia za mkato. Nikasisitiza kwamba waweke kipaumbele kufanya kazi kwa bidii, maarifa na kuipenda nchi yao. Hakuna short cut ya mafanikio zaidi ya kuwajibika na kuchapa kazi kwa bidii na upendo wa dhati kwa nchi.

Sasa watu wamezoea wakisikia uwajibikaji wanafikiria serikali-that was not my point mkuu.

Habari haijakamilika. Tafuta Gazeti la Majira usome upate context ya hoja zangu vizuri. Sikuongelea uwajibikaji katika cpntext ya serikali. Nilikuwa nawaasa vijana juu ya umuhimu wa kuwajibika kikamilifu kitaaluma na kitaalamu, kuchapa kazi kwa bidii na kuachana na kasumba iliyoanza kujengeka nchini mwetu ya kutaka mafanikio kwa njia ya ujanjaujanja na njia za mkato. Nikasisitiza kwamba waweke kipaumbele kufanya kazi kwa bidii, maarifa na kuipenda nchi yao. Hakuna short ya mafanikio zaidi ya kuwajibika na kuchapa kazi kwa bidii na upendo wa dhati kwa nchi.

Sasa watu mmezoea mkisikia uwajibikaji mnafikiria serikali-that was not my point mkuu.

Mheshimiwa Dokta Kitila Mkumbo hisima yako,

Nikiwa Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii sijafurahiwa na hatua iliyochukuliwa na wabunge wa chama chako mpaka sasa kuhusu kupunguza matumizi ya Serikali. Kama kawaida yetu kwa ajili ya ujuha tulionao mmefanikiwa "kututeka" na hoja ya posho. Lakini ukiangalia hizo posho wanazozizungumzia kina Zitto Bungeni ni pesa ndogo sana.

Je ni lini mtarudia ile dhamira ya Mhe Dr Slaa ya kupunguza mishahara ya wabunge? maana hapo ndio Serikali itafanya savings ya uhakika si tunafahamu kwa mujibu wa kiinua mgongo kwa wabunge kinatolewa kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa namba 3 ya mwaka 1999 ambayo ilianza kutumika 2000 na kisha kufanyiwa marekebisho mwaka 2005 katika kipengere cha sheria namba 12.

Kwa mujibu wa sheria hiyo, iliyotokana na marekebisho ya sheria ya awali ya mafao ya viongozi maalum wa kitaifa ya mwaka 1986, sio wabunge wote watakaovuna kiasi hicho cha fedha, kwa kuwa muda wao wa kuwa bungeni unatofautiana.

Mfano tukichukulia idadi tuseme Bunge la Jamhuri ya Muuungano lina wabunge 327, kati yao 49 ni mawaziri na manaibu waziri. Ukiondoa mawaziri na manaibu wao ambao kinua mgongo chao hulipwa na serikali, hivyo watakaolipwa na Bunge ni 278. Kwa mantiki hiyo, jumla ya Sh12,724,704,000 zitalipwa kama kiinua mgongo kwa wabunge hao ukiondoa mawaziri.

Fedha hizo ni sawa na asilimia 40 ya mishahara ya miaka yote mitano ya utumishi bungeni ambapo kwa mujibu wa marekebisho ya mishahara ya viongozi wakuu wa nchi na viongozi wa kisiasa yaliyofanywa Julai mwaka 2009.

Ukilinganisha na kazi wanayoifanya wabunge hawastahiki kupokea kiwango kikubwa kama hiki huu ni unyonyaji na wizi wa mchana kweupe kuliko wizi wa posho ambazo mnazipigia kelel ili kuwin popularity. Tujaribu kuwa wazalendo kidogo tufanye ya ukweli.

Asante sana mheshimiwa na ni matumaini yangu kina Zitto wataibua hoja ya mishahara ya wabunge ili kupunguza viinua mgongo vyao.

Songela sana/

Mheshimiwa sokomoko hili suala lako ni jipya na muhimu sana labda ungeazisha thread yako ingekuwa na maana zaidi ili watu waijadili kwa mapana yake

Back
Top Bottom