Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Mkuu ukilitazama hili sakata lazima utamwonea huruma mheshimiwa Shibuda alisakamwa akapachikwa majina mabovu kisa kaeleza hisia zake kidogo atimuliwe ubunge kama madiwani wa CDM Arusha hata mwaka haujaisha wanalilia ongezeko la posho !.

kinachodaiwa na CDM ni POSHO.....Vigeu geu hawa.....niliogopa sana kuwaamini hawa wanasiasa maana chama chochote cha siasa ni kukamata tu dola na kusimamia maslahi yao binafsi, Basi!!!
 
Mkuu afadhali umeona mwenyewe kibaya zaidi wapo wanajamvi wanataka tusijadili hili jambo kisa linagusa,linafunua,linaanika ubabaishaji wa CDM.

Wanasiasa wote wanafanya "guter politics" hasa hapa nchini kwetu TZ. Katika vyama ulivyovitaja, vyote hivyo vimemezwa na CDM!! REV, unajua CDM wakituliza mawenge/hasira/Jazba; hakika wana hoja na wanakubalika lakini wamesahau kuwa hao hao wananchi wanaowaita nguvu ya Umma isiyodanganyika, waelewa ndio hao hao watazamaji wenye uwezo wa kupima na kuona wanakopelekwa na CDM, kama ni wanatumia njia sahihi kudai haki zao au wanapelekwa putaputa ilimradi wanasiasa watekeleze matakwa yao binafsi!!!!
 
Mkuu Chinchilla,

Ndiyo ushangae laiti ingekuwa ni mbunge wa chama kingine CUF,TLP au NCCR JF pangechimbika wajuzi wa mijadala wasingebanduka kwenye keyboard zao bahati mbaya mtoto wa kifuani kaharibu.

Chadema ndiyo wanataka posho ziongezwe bungeni?
 
Mkuu afadhali umeona mwenyewe kibaya zaidi wapo wanajamvi wanataka tusijadili hili jambo kisa linagusa,linafunua,linaanika ubabaishaji wa CDM.

Ngongo, hili jukwaa kwa sasa limebadilika sana...zamani ulikua ukitoa opinion yoyote unaopingana na CDM, unapingwa, unatukanwa na wanamshawishi Mod kufuta threads husika!! CDM inajulikana maovu yake...niulize mim maana kimsingi nimetokea jimbo la Mbowe, I knw each & everything!! Lkini pia huitaji kutumia nguvu kubwa kuujua CDM na viongozi wake walivyo na wanavyocheza na vichwa vya watz maskini wenye njaa na wasiojua kula yao ya saa tano zijazo!! Yaani wanasiasa km hawa ni hatari sana...wamesoma alama za nyakati na udhaifu walionao watz kwa sasa then wanaitumia vibaya tena vibaya mno!! Cku ya Mkesha Ars, Mbowe hakukesha, na wenzake walipo kamatwa, yeye alikimbi na kwenda kwake Machame pale Protea Hotel!!!

Hoja yangu ni hii: CDM wana agenda chafu sana, wanafanya haya kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya watz walio wengi!! Posho walikataa, tukawapongeza kwa uzalendo, ushujaa na maamuzi magumu waliofanya!! Leo hii wale wale waliokataa posho ndio wakwanza kulia Bungeni,,hii ni sawa na kuwahadaa waTZ!!! Waache unafki....chonde chonde CHADEMA......MNACHOFANYA NI "GUTTER POLOTICS" YETU MACHO BWANA!!!!!
 
Mods wameshachakachua thread yangu wameiunganisha ili kuuwa mtiririko mzima.Haya bana mod ngoja nianzishe nyingine ya kusifu CDM najua mtaiacha idumu ahaaa mnaiharibu JF.
 
Duh mkuu maneno mazito sana lakini tarajia mod wataiondoa muda si mrefu si umeona walivyoichakachua thread yangu.

Ngongo, hili jukwaa kwa sasa limebadilika sana...zamani ulikua ukitoa opinion yoyote unaopingana na CDM, unapingwa, unatukanwa na wanamshawishi Mod kufuta threads husika!! CDM inajulikana maovu yake...niulize mim maana kimsingi nimetokea jimbo la Mbowe, I knw each & everything!! Lkini pia huitaji kutumia nguvu kubwa kuujua CDM na viongozi wake walivyo na wanavyocheza na vichwa vya watz maskini wenye njaa na wasiojua kula yao ya saa tano zijazo!! Yaani wanasiasa km hawa ni hatari sana...wamesoma alama za nyakati na udhaifu walionao watz kwa sasa then wanaitumia vibaya tena vibaya mno!! Cku ya Mkesha Ars, Mbowe hakukesha, na wenzake walipo kamatwa, yeye alikimbi na kwenda kwake Machame pale Protea Hotel!!!

Hoja yangu ni hii: CDM wana agenda chafu sana, wanafanya haya kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya watz walio wengi!! Posho walikataa, tukawapongeza kwa uzalendo, ushujaa na maamuzi magumu waliofanya!! Leo hii wale wale waliokataa posho ndio wakwanza kulia Bungeni,,hii ni sawa na kuwahadaa waTZ!!! Waache unafki....chonde chonde CHADEMA......MNACHOFANYA NI "GUTTER POLOTICS" YETU MACHO BWANA!!!!!
 
mwenye macho aambiwi tazama haya maneno tumekuwa tukisema kwenye vikao vya chama chetu hatupewi tena uongozi tunaoneka wasaliti, big up mangi.
 
daaah nimetoka machozi...mungu nitie nguvu mimi.....
 
Mkuu Kigogo.

Mwenzako nilishawastukia siku nyingi wanadanganya watu wakishafika magogoni watatumbua nchi kuliko mchwa.

daaah nimetoka machozi...mungu nitie nguvu mimi.....
 
Mkuu Kigogo.

Mwenzako nilishawastukia siku nyingi wanadanganya watu wakishafika magogoni watatumbua nchi kuliko mchwa.

Ngongo,

Ndio sababu wengine tunaona bora tusiwe na chama maana politicians wengi wa Tanzania ni wachumia tumbo tu hakuna kengine wanachokijua. Hakuna wazalendo wa kweli Tanzania. Na ndio sababu Zitto anapigwa vita kwani aligusa mtaji wa watu (posho)......
 
Mdodoaji.

Pamoja sana mkuu.Unajua nikiwaambia wanabodi wenzangu sina chama isipokuwa namwangalia mwanasiasa mwenye uwezo wanabaki wakinishangaa.

Mkuu pamoja sana,

Subiria Wanamagamba na magwanda waje kukushambulia.
 
Nimeshawazoea hawanitishi wala hawanisumbui hata kidogo waje nawasubiri kwa hamasa kubwa.Hapa ni hoja tu viroja havina nafasi hata kidogo.

Mkuu pamoja sana,

Subiria Wanamagamba na magwanda waje kukushambulia.
 
Ndiyo maana Zito alisema za kwake zipelekwe Kigoma Development Fund
Lakini hoja ya kugomea bado ni muhimu ili mifumo ya posho katika serikali ifanyiwe review kuondoa posho zisizo na tija kwa sab utaratibu wa mbunge kuzichukua na kupeleka bungeni haupo kisheria
Pia sio wote watakaopokea kwa mtindo huu watazitumia kwa maendeleo ya wananchi
nani? Atazisimamia huko? Si kwamba zitarudi kwa mlango wa nyuma
 
Kimboka One hata mimi nilikuwa na wasiwasi na hilo Kigoma Development Fund ni sawa na kuhamishia fedha toka mfuko wa shati kwenda mfuko wa suruali.

nani? Atazisimamia huko? Si kwamba zitarudi kwa mlango wa nyuma
 
Kuanzia mwanzoni nilimsifu sana Shibuda kwa kusamamia kile anachokiamini. Wengine walikuwa wanafiki wanafata mkumbo. Mungu amewaumbua.
 
Wabunge wanasafiri First Class kwenda Washngton kwa Kwa Shillingi millioni 12 wakati Donors wanasafiri Economy class
Albedo Avatar yako imenifurahisha sana, hata hivyo hakuna kitu inauma kama hii ya viongozi wetu wa serikali kutumia hela za serikali kama wanatukomoa. Ni mbaya sana, wanafanya kutukomoa maana pesa ni zetu lakini wanazitumia wanavyotaka wao. Hakuna uzalendo kabisa hapa, ndio maana hao Donors wamefikia mahala pa kusema wazi kwamba tunaotaka misaada tuiname ndio tupewe misaada. Mtu mwenye akili akikwambia jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali, wewe ni mpumbavu kuliko tunavyoweza kutafsiri, na yeye ataliona hilo.
 
Back
Top Bottom