Nimefurahia mchango wa kafulila kwamba Tanzania ni nchi tajiri lakini na maskini kupindukia,na ya 3 duniani kwa kupokea misaada duniani,nchi zenye machafuko kama somalia,rebanoni,cameroon na ethipia.anaifananisha Tanzania na "mtu mwenye afya anakunywa uji wa mgonjwa" akaenda mbali zaidi kwa kusema makampuni ya tigo,voda na zain yanakwepa kodi akatoa mfano kuwa hivi leo wanywa pombe na wavuta sigara wakiokoka mapato ya serekali itapata wapi mapato?nchi yetu kwa kweli inatia aibu hasa rais anapopita nchi za ulaya kuombaomba huku nchi yake ikiwa na rasili mali za kutosha,akaingia ndani zaidi kwa kusema tatizo la bajeti yetu ni kwamba mawaziri wanatanguliza matumbo yao nakusema kuwa hawa ndio wanao haribu bajeti kwa kutanguliza matumbo ya familia zao kwa kuwa wanaogopa wakitimuliwa na watakua hawajajilimbizikizia mali matokeo yake yanakua mafisadi na kuigalimu nchi.kweli leo kafulila kafunguka.