Naibu spika amwomba afute kauli
Lusinde katoa point mbili muhimu:
1) Unafiki wa mbowe kuchukua posho, na kutumia gari la upinzani wakati alilikataa
2) Bajeti ya upinzani haiakisi ilani ya chama chao, mbona hawaoni elimu bure kwenye bajeti ya chadema?
Ila Lusinde ndiye mwenye point....shame on u mwana UamushoMnyika hana point, anabwabwaja tu bungeni. anajitetea eti mtwara kuna shida ya maji kuliko ubungo, anajitetea kupata msamaha wa wananchi wa jimbo lake
namnukuu lusinde alivyosema muda mfupi bungeni "mh naibu spika, wapinzani wanasema kuwa bajeti hii ni ileile ya mwaka jana. si kweli. ila ile ya zitto kabwe ndiyo ileile ya mwaka jana". ameonesha ushahidi kwa kunukuu bajeti ya zitto ya mwaka jana na mwaka huu. ametaja hadi kurasa. Mh spika, wapinzania waliahidi elimu bure na bei ya mabati na simenti kushuka sn. ktkt bajeti mbadal ya zitto siyaoni hayo! kisha wanajiita makamanda! hawa wapinzani ni wababaishaji tu" mwisho wa kunukuuJAPO UKWELI UNAUMA, LKN LUSINDE UMENENA BABAAAAAA!
Mnyika hana point, anabwabwaja tu bungeni. anajitetea eti mtwara kuna shida ya maji kuliko ubungo, anajitetea kupata msamaha wa wananchi wa jimbo lake