Bungeni Live: June 19, 2012

Bungeni Live: June 19, 2012

embu msikilizeni mwenyewe mi sitaki msikiliza
 
HONGERA MBATIA HAPO UMEWACHANA PIA WATOTOVWA KAMBO NA MOU YA KANISA NA SERIKALI.AGHAKANI SI MWENZAO HUYO?. sheikh ponda ajitoke na makamsi yake.
 
Aaaaah Lusindeee a.k.a Kibajaj
Wamekusikia...
 
karopoka mbaya kama kawaida yake as he did in arumeru
 
badala ya kuongea mambo serious hili jamaa linaongea upuuzi tu. jamani bunge ni sehemu tukufu, jamaa anaongea kama yupo grocery ya pombe
 
Lusinde katoa point mbili muhimu:

1) Unafiki wa mbowe kuchukua posho, na kutumia gari la upinzani wakati alilikataa
2) Bajeti ya upinzani haiakisi ilani ya chama chao, mbona hawaoni elimu bure kwenye bajeti ya chadema?
 
lusinde lusinde hv unajua wananchi wa mtera wameku2ma nini?
 
Yan huyu amechanganyikiwa kabisa M4C
 
Lusinde anasema wapinzani mgomeeni Mbowe ajiuzulu maana alikataa gari bungeni akazunguka na kulichukua tena.

Anasema angelikuwa waziri wangelikomaa lakini mbona wanakaa kimya kwa Mbowe?

Anasema Bajeti ya Zitto haina jipya naye anarudia yale yale ya mwaka jana, anasema hata yale yaliyomo kwenye ilani ya CDM hayamo kwenye bajeti kivuli yao.
 
yan mie mwenyewe namshanga sana amepiga makelele akuna ambacho amechangia kwa ajili ya kusaidia wana nchi wake wa mtera nawapa pole sana watu wa mtera kwa sababu awana jinsi
 
Hivi nyie mnasikiliza Radio kupitia link Gani maana naona Hawa Arusha Mambo wanarudia kitu kile kile sijui wanarekodi??
 
ana matatizo a akili...na hana mda mrefu
 
Haya ndio tunayoyataka! Well done Mbatia.
 
Back
Top Bottom