nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Nashauri serikali iweke kiwango cha elimu, cha mtu kugombea ubunge, Mnyika anaaibisha bunge
Ungejua Elimu ya mnyoka, usingeandika ushuzi huu
Nashauri serikali iweke kiwango cha elimu, cha mtu kugombea ubunge, Mnyika anaaibisha bunge
Tuhuma ya mkuu wa wilaya kuhongwa gari yaibukia bungeni.
Mh Meshak Opulukwa atakiwa kupeleka vielelezo kwa spika ili ishu ishughulikiwe rasmi.
Lusinde ni jamaa yangu but problem yake ni short sighted, illiterate, stupid and uncivilized kabisaa tena anatuangusha ndugu zake kwa ujinga anaoongea. Tukikutana nitamwambia ujomba wetu uwe mwisho tuwasiliane na mama yake tu na kama nae anamuunga mkono huyu **** basi bwana undugu ufe kuliko aibu anayotutia ndugu zake. Hi is arrogant, embecile and uncooth. Next time tutafnya kila linalowezekana kuhakikisha huyu mpumbavu harudi tena bungeni unless hilo Bunge ni la WAPUMBAVU WA MAGAMBA kama alivyo shemeji yake Mwigulu. Unajua nani ana mnanii dada wa mwenzie? Kalagabaho.
Lusinde kawachana wapinzani mbaya, hongera muheshimiwa
Naibu spika: Anamtoa mnyika nje ya bunge , kwa utovu wa nidhamu. na anaamuru mnyika atoke nje ya bunge.
Wana ubungo, mmechagua BOMU. AIBU SANA
Mnyika katolewa nje kwa kumuita rais mdhaifu.
​Katika mchango wake katika bajeti ya Serikali, Mhe Mbatia amegusia suala moja ambalo kwakweli lina utata sana.
Taasisi ya Aghakan nchini ina mkataba na serikali wa kutolipa kodi zote (zero tax) nchini kwa sababu kwamba wanatoa huduma za elimu na afya kwa watanzania masikini kwa ghafama nafuu
Lakini cha ajabu ni kwamba hospitali na shule za aghakhan ni most expensive kuliko shule na hospitali nyinginezo. Je kuna maaana gani watu hawa kuendelea kupewa exemption. Naambiwa hata toilet paper inayonunuliwa na aghakhan hailipiwi kodi...achilia mbali magarim vifaaa n.k
Tena wanachofanya, wanawatoza watanzania waswahili na makampuni ya nchini very high premium pale hospitali alafu wana wa subsidize wahindi wa jumuiya ya ISMAILIA ndio wanatibiwa bure pale. Kufanya operation ya appendix pale ni shilingi milioni 2, wakati same operation Tumaini Hospitali ni shilingi 400,000 na St Benard hospital ni shilingi 600,000.
Iweje Agakhan wasilipe kodi ihali Hindumandal ambayo nayo ni ya kidini wanalipa kodi?. Tunaambiwa Regency Hospital ni moja ya walipakodi wakubwa katika TRA kanda ya Ilala.....wanalipa kodi karibia shilingi bilioni 2 kwa mwaka.....sasa aghakhan ambayo ni ghali kuliko regency na ina operations maradufu ya regency si ilipe kodi tu. hii ndio mianya ya upotevu wa fedha za serikali...
Hongera Mhe Mbatia kwa kuliongelea suala hili bungeni
Naibu spika: Hakikisheni mnyika anatoka mpaka nje ya bunge.