Bungeni Live: June 19, 2012

Taarifa ya Habari TBC: walimu wanaomba mishahara iongezeke, pia wanaomba posho.
 
Lusinde: Bajeti ya chadema UONGO MTUPU, mbona haizingatii ilani ya uchaguzi ya chama chao, mbona hatuoni elimu bure kwenye bajeti yao, UONGO MTUPU

Mwendawazimu kweli huyu, CDM iseme Elimu Bure kwa ni ina miliki Dola???

Itatoaje Elimu bure ikiwa shule zipo chini ya serikali.

Mwendawazimu si lazima awe Hospitali ya Vichaa wengine wapo hadi Bungeni kumbe!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kma wapinzani wakngekuwa kama huyu chiku na mrema, basi tanzania ingepata maendeleo. Maana anaongea poit tupu.

Chiku abwao: Nini logic ya ubinafsishaji? yaani unabinafsiha madini utegemee wageni wakupe utajiri, Kweli?

Chiku abwao: Tuzuie ubinafsishaji mpya jamani, Tumegundua gesi tz, lakini je tuna sera ya gesi?

Ulishaona hana point na hapa unasema ana pointi na ndipo ninapoweza kudhihirisha unafiki wako mkubwa ewe mala makombo
 
Ccm 5= i hoja zilizojengwa leo mchana ni mechi kati ya vichaa na machizi
 
Mkuu umesahau sera za CCM? Mojawapo ni hii ya kutokomeza njaa kwa wananchi.

 
Mbunge aliyejenga hoja ya Nguvu leo ni Mh Kafulila tu walioharibu ni Mnyika na Lusinde
 
Mnyika na mchezo wa Magengeni aibika awa mdogo kama piritoni but kawapa waandishi wahabari soko la Magazeti Kesho
 

halafu wafanyakaz wao hata wakienda kulalama mahakaman,,,kama mhindi anamiliki kiwanda cha rangi atahonga rangi,,,kesho akienda mfanyakaz wa kiwanda cha mabati,mhindi anahonga bati kwa HAKIMU
 

hii point naunga mkono kwa asilimia 200 - sasa hivi bima ya afya haioperate hapa kwa sababu ya gharama hizo.
 
Ni nani kasema kua pale Dodoma Bungeni ni sehemu patakatifu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…