chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mafisadi wana mkono mrefu!
Mtu ambaye hachangii mada kwa muda mrefu hapa JF, naye ghafla bin vuuuup naye huyo!. hii inaitwa Crisis management plan
Unanua, wapinzani, Majaji, maaskofu, wenye ushawishi mtandaoni, mawaziri, n.k , n.k
Nisipokuta jina la Mzee Mwanakijiji kwenye ripoti ya pac ntashangaa huyu naye atakuwemo
Last edited by a moderator: