Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

Mafisadi wana mkono mrefu!
Mtu ambaye hachangii mada kwa muda mrefu hapa JF, naye ghafla bin vuuuup naye huyo!. hii inaitwa Crisis management plan

Unanua, wapinzani, Majaji, maaskofu, wenye ushawishi mtandaoni, mawaziri, n.k , n.k
 
That much is obvious to cooler heads.

I would like to see the president impeached subsequently. Even if there are not enough votes, the mere process of voting on this motion would send tremors along the corridors of power in an unprecedented way.
 
kama kawaida yako mkuu, umetema yai!!!!!!
 
Nakubaliana na Mwanakijiji 100%.

I hope have understood between the lines.

SPIKA: Wanaopedekeza hawa mafisadi wajibishwe waseme Ndio

WABUNGE UPINZANI: Ndioooooo

WABUNGE CHAMA CHETU: hapanaaaaaaaaaaaaa

SPIKA: wliosema hapana wanmeshinda na wliosema ndio wameshidwa kwa kura.

Mara wabunge wa upinzani wanatoka njewabunge wa chama chetu wanabaki kuweka mambo yao sawa.

kwani hatukuona kwenye mcakato wa katiba?
 
hilo linawezekana kwa nchi inayofuata utawala wa sheria tu ila sio hii yetu ambayo utawala wa sheria tuliuacha pale rahisi wetu alipogeuza ikulu pango la walanguzi
 
Bora ulivyo baki marekani! kama unafikiri mahakama ina mamlaka ya kuzuia mijadala ya bunge kwanini usemi kwanini walishindwa kuzuia uchunguzi wa CAG na PCCB?
 
MM Vipi?. Umepenyezewa kitu kutoka mkombozi bank au?
 
Kama Bunge ndio ambalo liliagiza uchunguzi huo ufanwe na sasa linataka kupokea taarifa na kujadili mimi sioni tatizo na wala haihitaji kuwa mwanasheria kuliona hilo. Lakini kama uchunguzi huo uliagizwa kufanwa na muhimili mwingine usiokuwa bunge basi ni dhahiri mahakama ina mamlaka hayo. Lakini nikukumbushe serikali imekuwa ikivunja maagizo ya mahakama kwa muda mrefu, mfano suala la mgombea binafsi.
 
Nasikitika kukuambia kuwa serikali ndiye mwizi mwenyewe,hivyo usitegemee huo usalama na taasisi nyinginezo za serikali (Ikiwemo mahakama) Kuwa zitatenda kinyume na matakwa ya Serikali ambayo ndiye mwizi na fisadi mwenyewe...Pengine hautanielewa na watu wengine wengi(Lakini nchi ilipofikia hakuna wa kuiweka sawa tena maana Serikali ambayo ingeiweka sawa ndiyo inayoitafuna!!
Kwamba kuna taarifa kuwa Mahakama Kuu imeweka zuio (injunction) ya kuzuia Bunge kujadili suala la escrow kwa sababu kuna watu wameenda mbele ya mahakama kutafuta 'relief' fulani ni taarifa ambazo zilitarajiwa na zimekuwa zikinong'onwa kwa siku kadhaa sasa wakati taifa linasubiria mjadala huo Bungeni. Tukikubali kuwa Mahakama imetoa zuio hilo basi swali ni je Bunge linatakiwa kutii au lisitii?

Kuna watu ambao wanaamini mjadala huu ni lazima uendelee kwa sababu Bunge linafanya kazi zake "bila kuingiliwa". Lakini pia tunafahamu kwenye masuala ya haki Mahakama nayo inatakiwa kufanya kazi zake "bila kuingiliwa". Je, hili lina maana pande hizi mbili zinaweza kujikuta kwenye stalemate (kukodoleana) hadi mmoja wao apepese macho?

Naomba kupendekeza kuwa katika masuala ya kutafuta haki Mahakama na maamuzi yake yako juu ya mtu yeyote; yako juu ya Bunge na hata juu ya Ikulu. Mahakama inapotoa uamuzi fulani uamuzi huo unatakiwa kutiiwa na wanaohusika. Kwamba sasa Bunge linataka kuendelea na mjadala wakati Mahakama imetoa zuio halali siyo tu ni kutengeneza mwelekeo mbaya (bad precedence) lakini pia utatuletea matatizo huko mbeleni pale ambapo ama Ikulu au watendaji wengine watakapoamua kupuuzia maamuzi ya mahakama kwa sababu hawayapendi au wanaona yanawazuia kupata manufaa fulani ya kisiasa.

Ni kwa sababu hii naamini Bunge litatambua hatari waliyo nayo kwa kutokutii amri ya mahakama. Mahakama haina majeshi na wala haina polisi lakini kama maamuzi yake hayawezi kutiiwa na watu ambao walitunga sheria nani basi ataweza kuyatii maamuzi ya mahakama? Kinachosikitisha ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wanatarajiwa kuwa watetezi wa utawala wa sheria wanaonekana kukubali kutokutii huku kwa Bunge. Hii ni hatari.

Hata mwizi ana haki ya kwenda mbele ya mahakama kutafuta msaada; mafisadi na wezi wa mali za umma nao wana haki hiyo hiyo. Ni jukumu la wanaodai kuthibitisha madai yao. Na kwa vile serikali yetu kwa makusudi au kwa bahati mbaya hadi hivi sasa haijaanzisha uchunguzi wa kihalifu (criminal investigation) kuhusiana na escrow na kwa vile jukumu hilo linamuangukia DPP ambaye ofisi yake amekuwa dhaifu mara zote linapokuja suala la ufisadi basi wezi wetu wanapoenda mbele ya mahakama na kutumia mchakato wa mahakama kujilinda hatuwezi kuwakatalia ati kwa vile hatuwwapendi au tunaamini wanatumia mahakama vibaya. Ndio uzuri wa nchi ya kidemokrasia hata wezi wakikimbilia polisi lazima walindwe!

Hivyo basi, nasihi Bunge litii mahakama kwani kama halitotii hakuna mtu mwingine Tanzania ambaye atatakiwa kutii mahakama hasa kama inachukua uamuzi ambayo mtu huyo haupendi.

Kitu pekee ambacho Bunge linaweza kufanya na ninaamini ndio njia pekee ya kutokugongana na mahakama ni

a. Kuahirisha mjadala huo wa escrow
b. Mara moja kutuma wanasheria wake kutaka wasikilizwe ili kuondoa zuio hilo na hata ikibi kulikatia rufaa chini ya certificate of emergency ili lisikilizwe mara moja na kutolewa uamuzi kwani linahusiana na maslahi makubwa ya taifa.
c. Na kutii uamuzi utakaotolewa.
d. Kama Bunge kweli linataka kujadili mada hizi na kuwa na uwezo wa kuzuia masuala ya ufisadi lingengalia sheria zake ilizotunga ambazo baadhi yetu tunaamini ndio chanzo cha ufisadi. Hadi leo hii hawajafanyia mabadiliko sheria ya usalama wa taifa, bado hawajafanya mabadiliko sheria ya DPP na hata CAG mwenyewe na badala yake tunazunguka kwenye sheria zile zile mbovu. Binafsi ningeona la maana kama wabunge wangekaa kujadili kwa uhuru suala la udhaifu wa usalama wa taifa na haja ya mabadiliko kuliko kujadili kitu ambacho tayari tunajua nini kimetokea ila wapo baadhi ya watu wanaotafuta njia ya kutokea kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu. Usalama wa taifa kwangu ndio tatizo kubwa zaidi la kukabiliana na ufisadi nchini kuliko kitu kingine chochote.

Tusikubali Bunge nalo lijiinue dhidi ya mahakama, maana tukikubali basi mahakama zetu zitakuwa zimedhoofishwa kwa madhara makubwa sana katika suala la haki.

Kwa upande wa serikali tungetarajia hadi hivi sasa tayari uchunguzi wa kihalifu ungekuwa umeanza kufanyika badala ya kuacha uchunguzi wa kibunge (parliamentary inquiry) uliofanywa na Kamati ya PAC chini ya Zitto. Kama uchunguzi huu ungekuwa umeanza hata akaunti zinazodaiwa kugawiwa fedha zingewekwa chini ya ulinzi ili zisitoe fedha na wamiliki wake kuhojiwa. Na hata hili lingeweza kutumika kuzuia mjadala wa kisiasa Bungeni.
 
Kama Majaji wameshindwa kuona hiki kifungu kwenye katiba basi mwenye mamlaka awafute kazi Mara moja!
 
Attachments

  • 1416930723089.jpg
    1416930723089.jpg
    40 KB · Views: 376
Nasema..Tena na TENA!! Kama kweli tunataka Inchi hii ije kuwa inchi yenye kuheshimika kama nchi nyingine,Mungu ametupatia fursa hii na ni lazima tuitumie..watu wenye ushawishi hasa kama wewe "@Mimi Mwanakijiji na wengine huwe wakati wa kuwatia watanzania shime ili fursa hii itumike ipasavyo kuona serikali inawajibika badala ya kuendelea kuikumbatia....Kiufupi hatuna serikali bali tuna mtandao wa "Manyang'au yanayotafuna nchi..Nadhani tunahitaji serikali mpya haraka iwezekanovyo..Hatuwezi kuendelea na mtandao wa MAJIZI tunayo yaita SERIKALI...!
Kwamba kuna taarifa kuwa Mahakama Kuu imeweka zuio (injunction) ya kuzuia Bunge kujadili suala la escrow kwa sababu kuna watu wameenda mbele ya mahakama kutafuta 'relief' fulani ni taarifa ambazo zilitarajiwa na zimekuwa zikinong'onwa kwa siku kadhaa sasa wakati taifa linasubiria mjadala huo Bungeni. Tukikubali kuwa Mahakama imetoa zuio hilo basi swali ni je Bunge linatakiwa kutii au lisitii?

Kuna watu ambao wanaamini mjadala huu ni lazima uendelee kwa sababu Bunge linafanya kazi zake "bila kuingiliwa". Lakini pia tunafahamu kwenye masuala ya haki Mahakama nayo inatakiwa kufanya kazi zake "bila kuingiliwa". Je, hili lina maana pande hizi mbili zinaweza kujikuta kwenye stalemate (kukodoleana) hadi mmoja wao apepese macho?

Naomba kupendekeza kuwa katika masuala ya kutafuta haki Mahakama na maamuzi yake yako juu ya mtu yeyote; yako juu ya Bunge na hata juu ya Ikulu. Mahakama inapotoa uamuzi fulani uamuzi huo unatakiwa kutiiwa na wanaohusika. Kwamba sasa Bunge linataka kuendelea na mjadala wakati Mahakama imetoa zuio halali siyo tu ni kutengeneza mwelekeo mbaya (bad precedence) lakini pia utatuletea matatizo huko mbeleni pale ambapo ama Ikulu au watendaji wengine watakapoamua kupuuzia maamuzi ya mahakama kwa sababu hawayapendi au wanaona yanawazuia kupata manufaa fulani ya kisiasa.

Ni kwa sababu hii naamini Bunge litatambua hatari waliyo nayo kwa kutokutii amri ya mahakama. Mahakama haina majeshi na wala haina polisi lakini kama maamuzi yake hayawezi kutiiwa na watu ambao walitunga sheria nani basi ataweza kuyatii maamuzi ya mahakama? Kinachosikitisha ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wanatarajiwa kuwa watetezi wa utawala wa sheria wanaonekana kukubali kutokutii huku kwa Bunge. Hii ni hatari.

Hata mwizi ana haki ya kwenda mbele ya mahakama kutafuta msaada; mafisadi na wezi wa mali za umma nao wana haki hiyo hiyo. Ni jukumu la wanaodai kuthibitisha madai yao. Na kwa vile serikali yetu kwa makusudi au kwa bahati mbaya hadi hivi sasa haijaanzisha uchunguzi wa kihalifu (criminal investigation) kuhusiana na escrow na kwa vile jukumu hilo linamuangukia DPP ambaye ofisi yake amekuwa dhaifu mara zote linapokuja suala la ufisadi basi wezi wetu wanapoenda mbele ya mahakama na kutumia mchakato wa mahakama kujilinda hatuwezi kuwakatalia ati kwa vile hatuwwapendi au tunaamini wanatumia mahakama vibaya. Ndio uzuri wa nchi ya kidemokrasia hata wezi wakikimbilia polisi lazima walindwe!

Hivyo basi, nasihi Bunge litii mahakama kwani kama halitotii hakuna mtu mwingine Tanzania ambaye atatakiwa kutii mahakama hasa kama inachukua uamuzi ambayo mtu huyo haupendi.

Kitu pekee ambacho Bunge linaweza kufanya na ninaamini ndio njia pekee ya kutokugongana na mahakama ni

a. Kuahirisha mjadala huo wa escrow
b. Mara moja kutuma wanasheria wake kutaka wasikilizwe ili kuondoa zuio hilo na hata ikibi kulikatia rufaa chini ya certificate of emergency ili lisikilizwe mara moja na kutolewa uamuzi kwani linahusiana na maslahi makubwa ya taifa.
c. Na kutii uamuzi utakaotolewa.
d. Kama Bunge kweli linataka kujadili mada hizi na kuwa na uwezo wa kuzuia masuala ya ufisadi lingengalia sheria zake ilizotunga ambazo baadhi yetu tunaamini ndio chanzo cha ufisadi. Hadi leo hii hawajafanyia mabadiliko sheria ya usalama wa taifa, bado hawajafanya mabadiliko sheria ya DPP na hata CAG mwenyewe na badala yake tunazunguka kwenye sheria zile zile mbovu. Binafsi ningeona la maana kama wabunge wangekaa kujadili kwa uhuru suala la udhaifu wa usalama wa taifa na haja ya mabadiliko kuliko kujadili kitu ambacho tayari tunajua nini kimetokea ila wapo baadhi ya watu wanaotafuta njia ya kutokea kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu. Usalama wa taifa kwangu ndio tatizo kubwa zaidi la kukabiliana na ufisadi nchini kuliko kitu kingine chochote.

Tusikubali Bunge nalo lijiinue dhidi ya mahakama, maana tukikubali basi mahakama zetu zitakuwa zimedhoofishwa kwa madhara makubwa sana katika suala la haki.

Kwa upande wa serikali tungetarajia hadi hivi sasa tayari uchunguzi wa kihalifu ungekuwa umeanza kufanyika badala ya kuacha uchunguzi wa kibunge (parliamentary inquiry) uliofanywa na Kamati ya PAC chini ya Zitto. Kama uchunguzi huu ungekuwa umeanza hata akaunti zinazodaiwa kugawiwa fedha zingewekwa chini ya ulinzi ili zisitoe fedha na wamiliki wake kuhojiwa. Na hata hili lingeweza kutumika kuzuia mjadala wa kisiasa Bungeni.
 
hapo kwenye herufi kubwa panahitaji ufafanuzi

Dari letu fupi, wengine tukisimama tunagonga vichwa darini.

Yai hili la kawa tu, usikonde. Mie ningependa sana baada ya sarakasi zote za waheshimiwa rais anapigiwa kura ya impeachment bungeni.

Hizi bongofleva ndogondogo za kumvua ujaji Werema hazijapita studio zenye viwango vya kimataifa, ni nzuri lakini hazina kina.
 
Mzee mwenzangu hapa kidogo umefuka. Bunge alifanyi judgement, linafanya majadiliano kuhusu report. Ni sawa tumwambie rahisi huwezi fanya kitu fulani sababu kipo mahakamani. Bunge, Rahisi na Mahakama ni mihili mitatu tofauti isiyoingiliana kazi. Mahakama iendelee na kazi yake na bunge liendelee na kazi yake. Kusema mahakama ipo juu zaidi ya bunge sio sawa.

Kina ile kitu wanadaigi eti kesi iko mahakamani, haitakiwi kuiongelea, sababu ya kupoteza ushahidi eti.
 
That much is obvious to cooler heads.

I would like to see the president impeached subsequently. Even if there are not enough votes, the mere process of voting on this motion would send tremors along the corridors of power in an unprecedented way.

That's the only solution.
 
Back
Top Bottom