Bunge lijalo kuwa usharika

Bunge lijalo kuwa usharika

Ni vema Waziri husika akalifungia hilo gazeti hilo.

Waziri hawezi kwasababu hana '' moral authority" kama hakulifungia lile la RA, anaogopa kusotwa kidole. Huyu waziri ni mtawala si kiongozi,kwahiyo anajali tumbo lake zaidi kuliko maslahi ya taifa. Anaogopa kumuudhi RA na automatic mzee, sasa hawa wengine ni opportunistic tu.

Jamani hawa ni watu wasiozidi 5, kwahiyo msihukumu jumuiya yote kwa matendo yao. Mbona wapo waliosoma madrasa na wamechukizwa na hili jambo!!!! Mimi nilikuwa Iringa Askofu alimpokea Mkapa wakati wa sakata la kiwira, Mkapa akatoa Milion 5, askofu akamsafisha mbele ya kanisa kuwa ni mtu safi. Waumini walichukia sana kwa tendo la askofu huyo, Mimi nilimchukulia kama askofu dhaifu aliyetaka michango mikubwa, kamwe sikuwalaumu au kuwahukumu wafuasi au kanisa. Na tujiulize hivi Makasisi waliowalawiti maelfu ya watoto dunia wamefanya hivyo kwa udogo wa elimu yao, au wametumwa na jumuiya zao? Ku generalize issue kuna utata sana,kwahiyo tujitahidi kuto kutoa ''collective punishment''
Kwahiyo hayo ya kigazeti ni kuwaambia Acheni ujinga ninyi waandishi wa Alnuur! na siyo the entire society.
Let stand together to safeguard our values, tradition and norms as Tanzanian. Ndiyo sifa yetu, wachache wasituvuruge.
 
Mhariri Mtendaji wa kijarida hicho ni ndugu Malaria Sugu aka MS akisaidiwa na Tumain
 
Hichi kipeperushi cha wazushi kidharauliwe tu hawana jipya zaidi ya kupandikiza chuki.
 
Hata mimi nimekiona hicho kigazeti pendwa. Kimekaa kihuni huni tu. Wao habari zao kila likitoka ni za mrengo wa kuwaponda au kulalamikia ukristo. Mbona Msemakweli haliwalalamikii Waislamu? endapo babako hakukupeleka shule elewa alikuwa anakuandaa kuwa mzigo mzito sana duniani. Waislamu hawabebeki kama furushi la m*vi!

Kama jina lako linavoonesha... kweli w2 ni mpuuzi, huwezi kutukana watu kwa ujumla kiasi hicho...
 
hata mimi nimekiona hicho kigazeti pendwa. Kimekaa kihuni huni tu. Wao habari zao kila likitoka ni za mrengo wa kuwaponda au kulalamikia ukristo. Mbona msemakweli haliwalalamikii waislamu? Endapo babako hakukupeleka shule elewa alikuwa anakuandaa kuwa mzigo mzito sana duniani. Waislamu hawabebeki kama furushi la m*vi!

kilokole mamboleo!
 
hiki kigazeti wandishi wake wenyewe wana ilimu ya madrassa tu,
harafu kimekaa kichochezi sana,
kwani waislamu/wapagani ni wengi hawana elimu bali wana ilimu tu
sasa wapi watoke wa kushindana na wenye elimu??????????????????

Taratibu Msomi!!
 
Gazeti la Annuur la Ijumaa Agosti 6-12, ISSN 0856-3861 Na 902 limeandika katika ukurasa wa mbele kabisa kuwa Bunge lijalo kuwa la Usharika na Mchungaji atakuwa Spika Samuel Sitta.

Wanajenga hoja kuwa majina mengi yaliyopitishwa kwenye kura za maoni ni ya Kikristo na hata wale wa Upinzani waliopitishwa wengi ni wakristo.

Hivi vijarida vingine vinapaswa kufungiwa!



huo ni utabiri kwa kwa kutumia jini...puuza!
 
Huenda gazeti la Gazeti la Annuur lina hoja hapa. Ninachokiona ni watu kutake sides na kuanza kulishutumu, kwangu mimi ambaye siitazami Tanzania kwa misingi ya Ukristo au Uislam ninaona kuwa Annur limefanya kitu ambacho, kitaondoa kabisa hoja za kutumwa na kanisa zinazoenezwa na propagandists wa CCM katika uchaguzi huu. Kabla hujalishutumu Alhuur fikiria mambo yafuatayo

1. CUF walikizushia chama cha kidini, kijahidina na hivyo kutumia nafasi hiyo kukiibia kura
2. CHADEMA walikizushia ni chama cha kikabila, na sasa wanaingiza kuwa Dr Slaa katumwa na kanisa kugombea, hii yote ni sumu inayoenezwa na adui mkuu mmoja naye ni CCM ili kulinda masilahi yake

Sasa kama Alnuur limegundua kuwa kumbe hata CCM kuna udini kwa kupendekeza kupitia kura za maoni wagombea wengi wakristo ni dhahiri pia kuwa CCM imejaa wakristo na hivyo huenda nacho ni chama cha kikanisa. Kama ikiwa ni hapana kwa CCM basi itakuwa hapana kwa CHADEMA, CUF et al. Big up Alnuur.
 
Ondoeni ujinga wenu kwani nyie waislamu hampigi kura au hamkupiga kura za maoni?kama mmepiga kura za maoni iweje mseme eti waliopendekezwa ni wagalatia wakati wenyewe mmechukua milungula kama wengine?acheni mambo hayo,kura yako ndio itakayoonyesha unachokijali na kukitegemea katika mustakabali wa maisha yako hapa duniani!
'sema ndio panapotakiwa ndio na sio pasipotakiwa'
mwisho "ata bwana ameridhia kila atangazae injili apate riziki katika injili hiyohiyo"
 
Ni vema Waziri husika akalifungia hilo gazeti hilo.

Waziri husika ana majonzi ya kupoteza ubunge na yuko bize anatafuta huruma za NEC mambo mengine yote kwa sasa ameyaweka kwenye waiting list
 
Lets come back back to the point guys...

Gazeti linasema majina mengi yaliyopitishwa ni ya Kikristo...

Niliwahi kusoma sehem kuwa distribution ya waislamu na wakristu Tanzania almost ni sawa sawa...

Kama kweli waliopitishwa wengi ni Wakristo, na kwa kuwa wanachama walipiga kura bila kuzingatia dini zao, na kwa kuwa wanachama walipewa fursa za kuomba ugombea bila kujali dini, na kwa kuwa hakujawa na malalamiko yeyote kuwa dini fulani ilihusika kuiba kura, na kwa kuwa wanachama walichagua watu kutokana na 'uwezo' wao wa kuwawakilisha; then ina maana kuwa Wakristo walioonekana kuwa na 'uwezo' wa kuwakilisha wananchi ni wengi kuliko waislamu.

Kama Annur wanadhani kuna haja ya kubalance dini katika bunge, then njia nzuri ambayo haitakinzana na katiba ni kuwahamasisha watu wengi zaidi wenye 'uwezo' kutoka katika dini inayoonekana kukosa uwiano wa kutosha katika uteuzi wajitokeze wakati mwingine...
 
No...waraka wa ahadi za kuwakandamiza waislamu na madhehebu mengine yasiyokuwa Catholics na kuendeleza mfumo kristo wa serikali ya Jamhuri kama ulivyoasisiwa na Nyerere (L.L)...na kukatibiwa na Edward Lowasa, Prof. Costa Mahalu na wenzao.

Kumbe kwa kwako ukristo ni catholics??? pole. for your infor wakatolic is only 30-40% or less ya wakristo wote tz. wake up!!!!!
 
Hicho kijarida hakina zuri kwa wakristo ni kijarida ambacho sijajua kama hao waandishi ni wanataaluma au vipi si la kiungwana hata kidogo.mara zote hutafuta chokochoko, sema tu watu wameshakipuuzia mbali.Kigazeti hicho hakiheshimu hata BAKWATA na kimekuwa kikimvunjia heshima Shehe Mkuu na wale waislam wote wastaarabu. Kwa hiyo ieleweke wazi kuwa kile kigazeti ni cha kijahidina na kimeshafungwa kwa maombi ndiyo maana hakuna anayekifuatilia tena kigazeti hicho kina miaka nenda rudi hakiendelei maana kimefungwa na nguvu za mungu. sasa hivi kilichobaki ni kukipiga pawa hicho kijarida.Motooooo!!:mad2::mad2::mad2:
 
Hivi wanapata wapi muda wa kupitia majina yote na kujua huyu ni mwislam na huyu ni Mkristo? mbona kule kwetu tunapeana majina bila kujali ni la kiislam au la kikiristo? Serikali inabidi kukifunga haraka hiki kijarida. JK si aliahidi hivyo Dodoma?

Unajua hili gazet halijui kuwa Dr SLAA NI MUISLAM. Si unajua sisi tunapopitisha hatujali majina, infact hata mgombea aliyepita ,MBOWE, Hatujui ni dini gani mpaka leo. Huko ndiko kutokuwa na udini.
 
Inaonyesha hicho kigazeti kinausongo sana, toleo lijalo kitupe idadi ya viongozi kwenye ngazi yavitongoji (mabalozi) wa nyumba kumi, wenyeviti wa serikali za mitaa pamoja wenyeviti wa vijiji. nionavyo mimi kuna dini fulani ni maexpert
 
Nawapenda Wakristo maana hawajalai dini ya mtu wanachoangalia ni uwezo wake!!! ile sera kuwa kuwa huyu ni mwenzetu tumchague haipo, ndiyo maana hatua imepigwa sana kwa mtazamo huu. kwa mtu makini hawezi akakataa hili.:confused2:
 
hata siku moja kijarida hiki hakijawahi kuandika mambo ya maendeleo japo ya kumshauri rais wao jk cha kufanaya.......yaani kikiandika mambo ya kipuuzi kama hayo kakiongeza na mambo ya mahakama ya kadhi na oic baaassssiiii kwisha kazi......kapo kwa ajili ya kuchochea zaidi...na kujenga idikadi ile halisi ya kiislamu ya misimamo ya hovyohovyo......hebu waniambie....tuwasaidieje wakati wenzao wanaenda MADARASANI wao wanaelekea MADRASANI.....wanategemea nini kama sio kuvbuna tu itikadi kali na kuendelea kukaa vijiweni???????
Karibia tunachoka kuwasikiliza........Rais mwislamu....makamu wa rais mwislamu....rais wa zanzibar mwislamu...waziri kiongozi mwislamu....sasa hiki kijarida kinaonesha nini kama si chuki za kipumbavu tu...............Mkitaka nasisi tutahalalisha maandamano kuwa haki ya msingi kwa kila jambo kama ilivyo kwa waislamu.......EBO!!!!!!!!!!-
 
Haya aliyalea Mzee Ruksa. kilicho nifurahisha kwa kuwa aliwalea ndo maana walimnasa kibao kwenye moja ya shughuri yao. 'Ukipanda mahindi lazima uvune mahindi' wala huwezi kuvuna miwa!
 
Back
Top Bottom