TUJITEGEMEE JF-Expert Member Nov 6, 2010 23,965 23,227 Mar 25, 2024 #101 The Khoisan said: Chadema wana Mbunge wao mmoja bungeni. Amuombe atoe payslip yake hadharani. Click to expand... Yule akilipwa 13 peke yake ushahidi utaupata wapi?
The Khoisan said: Chadema wana Mbunge wao mmoja bungeni. Amuombe atoe payslip yake hadharani. Click to expand... Yule akilipwa 13 peke yake ushahidi utaupata wapi?
Kichuguu Platinum Member Oct 11, 2006 15,823 19,957 Mar 25, 2024 #102 M13 tax free pamoja na posho kedekede siyo bure.
I Izia maji JF-Expert Member Dec 1, 2021 2,243 3,958 Mar 25, 2024 #104 Makupa said: Acha upoyoyo,mzee Mbowe aweke nyaraka za kuthibitisha alichoropoka ,vinginevyo anakaribia kuingia kwenye kundi la lema na mdude Click to expand... Wewe weka uthibitisho wa nyaraka kuwa mbunge wako hajaongezewa mshahara!
Makupa said: Acha upoyoyo,mzee Mbowe aweke nyaraka za kuthibitisha alichoropoka ,vinginevyo anakaribia kuingia kwenye kundi la lema na mdude Click to expand... Wewe weka uthibitisho wa nyaraka kuwa mbunge wako hajaongezewa mshahara!