DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,818
- 18,282
Sasa ukweli ni upi?? Hili bunge la Tanzania limekuwa la kiswahiliswahili. Mpa awamu ya sita iishe nchi itakuwa vipandevipandeManeno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amedai kwamba mishahara ya Waheshimiwa Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi milioni kumi na tatu (sh.13,000,000/=)
hadi shilingi milioni kumi na nane (sh.18,000,000/=)
View attachment 2942304
KWANI MSHAHARA wa MBUNGE NI KIASI GANI KWA SASA?Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amedai kwamba mishahara ya Waheshimiwa Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi milioni kumi na tatu (sh.13,000,000/=)
hadi shilingi milioni kumi na nane (sh.18,000,000/=)
View attachment 2942304
Pamoja na kukana je wanavyojiona wana sifa gani special ya kuwafanya wao kupokea mshahara Tsh 13,000,000/= pamoja na marupurupu chungu mbovu na bima za maisha za uhakika?
Hii taarifa ya kijinga kwenda kwa wajinga.Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amedai kwamba mishahara ya Waheshimiwa Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi milioni kumi na tatu (sh.13,000,000/=)
hadi shilingi milioni kumi na nane (sh.18,000,000/=)
View attachment 2942304
Ndio maana zilifanyika juhudi upinzani watoke bungeni ili wale mema ya nchi.Hii taarifa ya kijinga kwenda kwa wajinga.
Taarifa yenye weledi inatakiwa ioneshe mshahara sahihi kwa wakati huu (Mbowe alisema 18m ambapo ukweli ni .......).
Hata hivyo, kwa sababu ya mabadliko ya fikra na teknolojia, siku si nyingi mambo kama haya hayatakuwa siri tena.