The green conferenceBunge au baraza la kijani?
wajadili maslahi ya wananchi tu, wazumngumzie kero zinazo wakabili wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika Ndugai amesema anawapongeza sana wabunge kwa weledi wa kuuliza maswali mafupi mafupi tofauti na wale wa bunge lililopita maswali yao yalikuwa yanajaa ukurasa nzima...
Mimi sikumchagua mbunge yeyote kwa hiyo sina mbungekuanzia leo naomba watanzania wenzangu tuanze kuwa tathimini wabunge wetu tulio wachagua, je? wanatusemea kero zetu au wanenda kustarehe?
Je, wanatoa njia kutatua kero zetu au wamefunga midomo?
tuwafuatilie na tutoe maksi kila siku kwa kila mbunge
Itawafyatua Mpaka Akili Zikae SawaNgoja CORONA ainze kutupunguzia makada si wengi ni wao mule mjengoni.
Bonge La Ccmbunge la mataga, bunge la sisiemu
hujamchagua lkn ndio mbunge wa jimbo lako, huna jinsi, hakikisha anatatua changamoto zilizopo ktk jimbo lako kwa masilahi ya ndugu zako wanao ishi huko.Mimi sikumchagua mbunge yeyote kwa hiyo sina mbunge
Jiongeleee mwenyewe na mbunge wako uliomchagua wewe
Tokea Nina akili zangu sijawahi hata siku moja kuwasiliana na hao viongozi wa kisiasa ili watatue shida zangu,hujamchagua lkn ndio mbunge wa jimbo lako, huna jinsi, hakikisha anatatua changamoto zilizopo ktk jimbo lako kwa masilahi ya ndugu zako wanao ishi huko.
Sent using Jamii Forums mobile app