Bundi analia juu ya mpapai wangu

Bundi analia juu ya mpapai wangu

Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.

Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.

Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri

Acha uoga anapunga upepo hapo
 
Kuna mzoga maeneo hayo au mtu mgonjwa sana cell za mwili wake zimeanza kufa
 
Utaokota hela nyingi, bundi wa siku hizi sio kama wale wauaji wa zamani, tembea tembea kwa miguu kwa sana tuu mpaka uzipate
 
mi alikuja kwenye paa la nyumba yangu, hiyo sauti yake usiku utadhani jini. Nilitoka nje nikachungulia kwenye paa nakutana na jamaa ananitumbulia macho, nilimtandika jiwe moja hajarudi tena
 
Ni ndege wa kawaida tu. Ila ukiwazacho ndicho utakipata. Mie hata kucheza nao huwa naenjoy.
 
Kwa hiyo una maana jirani yangu atakufa. Maana mpapai upo karibu zaidi na nyumba yake japo ni wa kwangu.
Mkuu, mbona kama unakwepa hv!
Bundi anafuata mwenye mpapai n.a. sio mwenye ujirani n.a. mapapai
 
Harufu gani kasikia. Sijipulizii unyunyu usiku.
Binadamu anapozeeka kuna seli zinakufa na bundi ana uwezo mkubwa wa kusikia hiyo harufu, ni jambo la kisayansi, ni lazima hilo eneo kuna mzee mwenye umri mkubwa hizo ndio clear signal.
 
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.

Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.

Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri

KAMA MWANACHAMA WA KILE CHAMA CHENYE WAGONJWA WA MUDA MREFU, ANZA KUMUOMBA MUNGU , MAANA MMOJA WAO "ATA REST IN PEACE" KARIBUNI
 
Bundi ni alama ya hekima na mafanikio, niamini nayo yatakuwa kwako milele!
 
Back
Top Bottom