chipumbu chikubwa
Member
- Jul 29, 2018
- 39
- 26
Mchekeshe ataacha tu kulia
Sio kusikia tu.....mimi alikuwa ana lala kwenye pagale la nyumba yangu lililoezekwa kabla sija hamia na hakuna shida iliyotokea.... Ondoa hofu mzee....Sawa mkuu. Ushawahi kumsikia Bundi analia lakini?
Suluhisho kata huo mpapaiJamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.
Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
View attachment 832207
mshana njoo huku kuna mdau bundi anataka ku mdipacha from this world.
nimechaka saana leo. U made my nightFunguka mkuu. Wengine tukikuona hapa tunapona ghafla.Jibu la Mwenyekiti wa serikali za mitaa na ishu ya kuweka headphone vimepoteza uhalisia wa mada
Nikipata miccmko nisiyoitambua huwa nataja mshana Jr. Hawajawah kuniweza kwa imani yangu hiiJibu la Mwenyekiti wa serikali za mitaa na ishu ya kuweka headphone vimepoteza uhalisia wa mada