jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,021
- 10,690
Huku napoishi, wanakuja ndege wa kila aina, wanalia kwa sauti za kila aina, mpaka bundi, mie naona ufahari tu, maana mpaka wakutembelee ina maana boma lako lina maua, miti, vivuli na utulivu na amani...
Achana naye, mpotezee tu, achana na dhana potofu, kwanza mrekeodi kabisa ili uturingishie 🙂🙂🙂
Achana naye, mpotezee tu, achana na dhana potofu, kwanza mrekeodi kabisa ili uturingishie 🙂🙂🙂