Bundi analia juu ya mpapai wangu

Bundi analia juu ya mpapai wangu

Jamani bundi ni ndege kama ndege wengine sema tu sisi tunaamini kila kinacho zurula usiku kina mahusiano Na ushirikina ndomana watu wanaogopo popo au milio ya paka dume Na jike wakikutana

#Tubadilike
Kweli
 
kuna watu wanawanunua hao kwa hela nzuri tu,rizki hyo imekufuata yenyewe na wewe unaikimbia.na ukute ukifanya ibada unaomba mungu akuzidishie rizki.
 
Mkuu hapo wiki haipiti utakuwa umeshakata moto, Nikupe tu R.I.P kabla hujatutoka
 
Bundi hula wafu na mizoga na anauwezo wa kunusa mizogo na wafu waliopo kwa umbali mrefu. Watu humuhusisha kuwa anaeza tabiri kunamtu atakufa karibuni endapo atakuja nyumban kwako kulia kwani anauwezo wa kunusa kiumbe ambacho baadh ya sehem zake zimekufa kutokana na maradh hali itakayompelekea mgonjwa kufarik karibuni au asilimia ndogo sana kupona kama atapata matibabu stahiki. Ila hana madhara yoyote unaeza ukaenda mfukuza tu ni viumbe kama vile kunguru.
Au jiulize hapo mtaan nan mgonjwa kama hamna bas kuna msiba gan au kuna mzoga gan labda upo?
Kama ni ivo basi wangekuwa wengi sana hospital
 
Pole mkuu hiyo inaweza kuwa rip kwako au kwa jirani
Sali sana.
 
Back
Top Bottom