Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,080
- 16,246
Hakuna aliye rip?Mimi enzi hizo home alikuepo bundi kila siku anakuja kulia mbele ya chumba changu kulikua na nyumba imetolewa paa na madirisha.basi kila siku anapanda pale.mpaka leo siamini kama alikua ni bundi tu