Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
the-town-of-moshi-located-at-the-foot-of-the-kilimanjaro-range-5895m-AD3J0E.jpg
 
Matokeo ya utafuti huu yameupa mji wa MOSHI ushindi mkubwa dhidi ya BUKOBA kuanzia kiuchumi angalia website ya TRA, kimajengo, usafi, ustaarabu na hata mandhari Moshi is always green.
MOSHI 95%
BUKOBA 5%. Period.
Tunaomba picha mwenzangu we mchaga mmpenda sifa
 
Matokeo ya utafuti huu yameupa mji wa MOSHI ushindi mkubwa dhidi ya BUKOBA kuanzia kiuchumi angalia website ya TRA, kimajengo, usafi, ustaarabu na hata mandhari Moshi is always green.
MOSHI 95%
BUKOBA 5%. Period.
Unachekeshaa sana mbona hamtuonyeshi poroja nyingi kama nini
 
Huu mtanange siwezi changia, mi ni mzaliwa wa Bukoba hivyo naijua vizur. Chuo kikuu nimesomea Moshi hivyo naijua vuzuri pamoja na wilaya zote za Kilimanjaro. Vile vile mke wangu ni mchaga , hivyo si haja ya kubishana wapi ni pazuri ila ninachojua watu wa hayo maeneo walio wengi wanajielewa na kupekelekea kuwa na Maisha mazuri.
 
Tunaomba picha mwenzangu we mchaga mmpenda sifa
We ni mtu wa ajabu sana yaani hizo picha zote huzioni au unaleta utani? ok na hiyo ya TRA je? kifupi upo wapi mie najitolea nauli uende Moshi ukapaone
 
We ni mtu wa ajabu sana yaani hizo picha zote huzioni au unaleta utani? ok na hiyo ya TRA je? kifupi upo wapi mie najitolea nauli uende Moshi ukapaone
Linganisha sasa
 
Me si wa Bukoba wala Moshi ila .....Bukoba kwa Moshi bado sana tena kilometa nyingi tu wanasubiri. Ila miaka michache ijayo Moshi itakuwa inasubiri kwa mikoa mingi sana sababu commercial activities Moshi ni kama zimesimama na nguvu kazi hakuna tena kama zamani yani ni kama mji uliokimbiwa wakati wa vita na maendeleo hakuna tena yani mji uko doroo. Nyerere alifanya kazi nzuri kutuunganisha Watanzania maana siku hizi kila kukicha ni ubinafsi ,ukanda ,ukabila n.k unatamalaki vinginevyo tungeshamalizana.
Tatizo moshi wanawaza siasa muda wote, ndio maana wamepitwa na Manispaa nyingine
 
Hahaaa instanbull usikonde mwakani tuombeane heri mdau wachagaa tutajichanga hapa tutakupa offer ya kwenda Kilimanjaro tukutembezee vijiji wilaya na vitongoji vyoote ukirudi hapa utakuwa kiumbe kipya amini hivyo manake kwa sasa unapapasa tu
Kwanza kapige picha za kilimanjaro watu wengi waione, kama hata picha mmeshindwa kuleta apa. Watu watawaamini vip?
 
Wazungu wanatoka Arusha wanapita moshi kwenda kupanda mlima kilimanjaro, moshi mnaishia kuona wanapita tu, ndo maana CHUGA iko vizuri
Aya sasa watani wangu wachaga mambo haya. Kumbe sifa nyingi akuna kitu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom