instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
- Thread starter
- #761
Rubisi pombe ya kihaya,senene za mbuga,ndizi za bk,na hali ya jewa nzur kama nini sijui beach za kumwaga,na uvuke border kwenda rwanda ug,pia miwa na visiwa vya ziwa kama msira,kerebe bumbile nk utaona lin meli weweHahaaaa rubisi, mbuga ndio nini embu dadavua
