Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Kwa kweli ni ukosefu wa heshima,,adabu na akili kuilinganisha moshi na bukoba....moshi n level ya juu sana kwa bukoba...!Bukoba kamwe hapawezi pagusa moshi. ...
Moshi ipo kwenye mpango wa kuongezewa eneo na kuongeza miundombinu ya barabara na nyingnezo liwe jiji, Ni moshi na dodoma tu ndio zipo katika project hyo!!bukoba endeeleni kuota !!
Ulikuwa wapi chalii yangu? Naona barabara zimepigwa deki hapo over USA asiyetaka akajitundike
Tulia niwanyooshe .sifa nyingi kumbe Hamna kituUlikuwa wapi chalii yangu? Naona barabara zimepigwa deki hapo over USA asiyetaka akajitundike
Hii mbona kama chuga?
Mmesahau na za makanisa wajichukulie ramani tunawapa bureee hatutaki hata sent tano yao hahahaaWaweke za bukoba zingine tofauti na lile kanisa, moshi tuwapige msumari wa mwisho
Kibo palace MoshiHii mbona kama chuga?
Bado za makanisa na ile misikiti yetu mizuuri over macaTulia niwanyooshe .sifa nyingi kumbe Hamna kitu