Tetemeko, vita vya kagera,milipuko ya mabomu mwaka 94,utelekazaji Wa mkoa huu miaka ya 80, na 90 wakati bk ilijengwa kibepari lakini socialism ilikuja ikaaribu muundo na ukuaji Wa bk kwa kiasi kikubwa shule,viwanda,mashirika,majengo na vingine vilikufa,bk ilikuja kuamuka tena miaka ya 2000 tu ambayo imekuwa kwa kasi sana.na kumbuka katika majanga hayo hakuna fidia inayolipwa mfano vita vya kagera mji uliharibiwa sana ndo maana ukaangamia kama ilivyo sasa tetemeko.lakini watu walishutka mapema kwamba hakuna fidia ndo maana ukuaji haujaathirika sana.wengi usema bk IPO mbali na tz.