The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Elewa basi mada mjini bk vs mjini moshi, vijijini tutakujaMjomba kwenye hotel ndo usiguse.ni balaa. Moshi kuna hotel nyingi sana tena vijijini siyo mjini za kitalii
Elewa basi mada mjini bk vs mjini moshi, vijijini tutakujaMjomba kwenye hotel ndo usiguse.ni balaa. Moshi kuna hotel nyingi sana tena vijijini siyo mjini za kitalii
Ha ha ha pole mkuu naona imeingia hiyo ni Moshi.Elewa basi mada mjini bk vs mjini moshi, vijijini tutakuja
Kwani nyie si washamba. Unaionaje hiyo hotel wewe?![]()
![]()
Kwa hotel bizi bk kiboko ya moshi
DuuuuuuuKwani nyie si washamba. Unaionaje hiyo hotel wewe?
na nyie mnaoshangaa wazungu??? Coz naona unaweka picha za wazungu tu, nafikiri ww ni muongozaji wa watalii 
Wazungu wanapenda kuja Kilimanjaro/ moshi kwa sababu ni mji safi wa kitalii na wenye mandhari za kupendeza.Duuuuuuu![]()
na nyie mnaoshangaa wazungu??? Coz naona unaweka picha za wazungu tu, nafikiri ww ni muongozaji wa watalii
![]()
Hilo jengo ni NSSF moshi labda kama ww ni mbishi wa asili. Mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mji uliotangazwa manispaa miaka kumi iliyopita na moshi iliyopata hadhi hyo mwaka 1988? Moshi iko kwenye mchakato wa kuwa jiji poleni sana. Kwa kifupi kanda mbalimbali kuna miji imeimeza mingine na kuiacha mbali sana hadi ikaja kutumika nguvu ya kisiasa kuipandisha hadhi miji iliyodumaa mwanza na mbeya ni mifano. Iliimeza sana miji inayoizunguka. Ni tofauti na kaskazini arusha Tanga na moshi. Ukiacha miji iliyopewa hadhi ya jiji, miji ya kulinganisha na moshi ni Dodoma Moro na iringa tuWewe picha ya pili, mbona ya Iringa? Naona hotel ya Kaundama upande wa kushoto, na jengo la Assas upande wa kulia. Weka picha za Moshi nyingo ili tuweze kuuchambua vizuri.
Wazungu wanatoka Arusha wanapita moshi kwenda kupanda mlima kilimanjaro, moshi mnaishia kuona wanapita tu, ndo maana CHUGA iko vizuriWazungu wanapenda kuja Kilimanjaro/ moshi kwa sababu ni mji safi wa kitalii na wenye mandhari za kupendeza.
Hiyo nini? Hotel au!! Tunataka tujue vitu vinne tu. Town plan, infrastructure, social activities, population, and income ya mtu mmoja mmoja. Kwamfano Gaborone na Dar ukizilinganisha kila jiji linatofautiana na lingine. Ila kwa ujumla Gabs iko juu sana kuliko Dar.Cheki hii ya bk![]()
Huna akili wewe, unaongelea ushabiki unajua hata vigezo vya kupandisha hadhi ya miji kuwa majiji? Au unaleta polojo zako!! Nyie mnafananisha miji yenu kwa uzuri au kwanini haijawa majiji? Angalia thread mbili kabla ya hii sijaituma ndio uelewe nina maana gani. Picha namba 7 ni Iringa sio Moshi, Ilo lazima ulijue tafadhali.Hilo jengo ni NSSF moshi labda kama ww ni mbishi wa asili. Mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mji uliotangazwa manispaa miaka kumi iliyopita na moshi iliyopata hadhi hyo mwaka 1988? Moshi iko kwenye mchakato wa kuwa jiji poleni sana. Kwa kifupi kanda mbalimbali kuna miji imeimeza mingine na kuiacha mbali sana hadi ikaja kutumika nguvu ya kisiasa kuipandisha hadhi miji iliyodumaa mwanza na mbeya ni mifano. Iliimeza sana miji inayoizunguka. Ni tofauti na kaskazini arusha Tanga na moshi. Ukiacha miji iliyopewa hadhi ya jiji, miji ya kulinganisha na moshi ni Dodoma Moro na iringa tu
Unaota eti mwanza imemeza bk kwa taarifa 50% ya bidhaa zote za mwanza kutoka bk na buseresere ndo maana kuna uhitaji mkubwa Wa meli ziwani.unafikiri watu walikuwa wanaenda kufanya nini bk .MV Victoria ubeba watu 1200 kwa safari moja.Serengeti 400,hivi hawa watu wanaenda kufanya nini bk.umechemka sana na comment yako.Hilo jengo ni NSSF moshi labda kama ww ni mbishi wa asili. Mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mji uliotangazwa manispaa miaka kumi iliyopita na moshi iliyopata hadhi hyo mwaka 1988? Moshi iko kwenye mchakato wa kuwa jiji poleni sana. Kwa kifupi kanda mbalimbali kuna miji imeimeza mingine na kuiacha mbali sana hadi ikaja kutumika nguvu ya kisiasa kuipandisha hadhi miji iliyodumaa mwanza na mbeya ni mifano. Iliimeza sana miji inayoizunguka. Ni tofauti na kaskazini arusha Tanga na moshi. Ukiacha miji iliyopewa hadhi ya jiji, miji ya kulinganisha na moshi ni Dodoma Moro na iringa tu
Ulishasema mbeya inameza miji inayozunguka iringa IPO karibu na mbeya hapo ilikuwaje mbona mji mkubwa tu hapo umetumia ukanda sana.Fanya utafiti half bk iko mbali sana na mwanza na inakua kivyake njoo ujionee.Hilo jengo ni NSSF moshi labda kama ww ni mbishi wa asili. Mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mji uliotangazwa manispaa miaka kumi iliyopita na moshi iliyopata hadhi hyo mwaka 1988? Moshi iko kwenye mchakato wa kuwa jiji poleni sana. Kwa kifupi kanda mbalimbali kuna miji imeimeza mingine na kuiacha mbali sana hadi ikaja kutumika nguvu ya kisiasa kuipandisha hadhi miji iliyodumaa mwanza na mbeya ni mifano. Iliimeza sana miji inayoizunguka. Ni tofauti na kaskazini arusha Tanga na moshi. Ukiacha miji iliyopewa hadhi ya jiji, miji ya kulinganisha na moshi ni Dodoma Moro na iringa tu