Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Kuna mijitu humu naamini kabisa kwa moyo wa dhati walikuwa wanapasikia moshi na hawajawahi kufika walikuwa wanataka waone hata kwa picha ndio maana wamekazania leta picha sasa tukiamua kuleta na zile za katikati ya migomba na kahawa sindo mtalia kabisa.
Hivi nyie tukianza kuweka nyumba mojamoja hivi itakuwaje.pole sana moshi ebu subiria niwaonyeshe
 
Moshi Kilimanjaro vijijini
exterior.jpg
exterior.jpg
4539648_4_b.jpg
the-impala-kilimanjaro-hotel_479492.jpg
 
Ficha ujinga wako wewe nyie ndio wale wanga mtu akijenga nyumba ya bati huko kwenu halali ndani eti moshi pachafu pasafi wapi.
Wajinga ni nyinyi mnakimbia shule kwenda kwenye biashara. Na biashara zenyewe ni kutegemea uchawi
 
Halafu hata hatutambi kuna picha zingine naziona hapo ni za vijini kabisa hapana chezea Moshi wewe ni namba nyingine na mbaaado

Kuna watu ni wapumbavu sana Kwanza kwa kigezo tu bukoba ni kati ya mikoa mitatu mafukara wa kutupwa haikitakiwa hata kuifikiria moshi mimi kagera naijua kuanzia ngara, biharamulo, kasindaga, Runazi, rulanda, ilemela, muleba, kagoma, katoke, kemondo, rugambwa University, bukoba, karagwe yaani kufananisha na Moshi ni matusi.
 
Ficha ujinga wako wewe nyie ndio wale wanga mtu akijenga nyumba ya bati huko kwenu halali ndani eti moshi pachafu pasafi wapi.
Kama usafi ni maendeleo basi apa Dar es salaam ingekuwa ya mwisho
 
Ukimuona mchagga anapigika huko kwenu kaa ukijua haya ndio matunda yake vijijini kwao
76588570.jpg
A_U13047_EXT_B7F59BBD.JPG
64746492.jpg
temp_slide_13.jpg
g642789.jpg
2010_08_01_17_46_03.jpg


Mchagga cribs ajazianzia masaki osta hayo ni mambo aliyowaachia bibi na babu zake tena zilijengwa karne kibao long time
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom