Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Laana imkute mtu yeyote anayeongerea maswala ya ukabila miaka 50 baada ya uhuru wa kifikra.. Ppl like you is one of the reason ccm bado ipo madarakani
Shuda siyo ccm. ..maendeleo yanaletwa na fikira zako mwenyewe. Hata ukiwapa chadema hawatakuwa na jipyaa!!
 
Moshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampo
Toa hoja mfu ya usafi...mbona dar na mwanza majiji na machafu sana kuliko ata bukoba!!! Kampala jiji lakini chafu ije kuwa manisipaa ya BK!!!

Siye tumesema moshiiiii inakaa kwa BUKOBA! Wakola
 
Club ni nyingi sana hukupata Wa kukutembeza kwanza oksjen ilishafungwa siku hizi kuna sky motel,rwabizi,cassanova,liquid nk shida hamkubali mpaka mnaanza sema uongo bk inaizidi moshii.beach ukwenda bunena na kabuwara nadhani mliogopa milima

Huko kote nlienda ,bk padogo Hamna sehemu nlikacha.we Ni mbishi tu ,bk pakawaida tu ,radi zikianza Ni Hatare unatamani kurudi nyumbani mda huo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom