Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Kwanza kapige picha za kilimanjaro watu wengi waione, kama hata picha mmeshindwa kuleta apa. Watu watawaamini vip?
keys-hotel-6.jpg
1.2-300x200.jpg
sal-salinero-hotel.jpg
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
DSC00662.JPG
DSC05941.JPG
Dinning-Building-at-Springlands-Hotel.jpg
 
images
Marangu-Teachers-College-3-small.jpg
F_S04806_EXT_224EC60F.JPG
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
keys.jpg.rb_.jpg
 
Moshi panazidi Bukoba kwa kila sifa Wahaya wakipiga ela ukimbilia ng,ambo mimi ni Muhaya ila ukweli Wahaya wenye ela niwabinafsi wanatumia Bukoba kama maziko tu wakifa wanakuja kuzikwa tu.
 
Naona hapa unatumika ushabiki tu kila mji una sifa na uzuri wake nadhani tukijikita kwenye ukweli hii miji kila mji una sifa zake
 
Kuna mijitu humu naamini kabisa kwa moyo wa dhati walikuwa wanapasikia moshi na hawajawahi kufika walikuwa wanataka waone hata kwa picha ndio maana wamekazania leta picha sasa tukiamua kuleta na zile za katikati ya migomba na kahawa sindo mtalia kabisa.
 
Ukiongelea stendi bukoba ni kweli haipo kwenye hadhi ya kuitwa stendi kuu ya mji soko pia haliko kwenye ubora hii pia hata kwa moshi stendi na soko ni yale yale ila moshi itapata sifa ya usafi
 
Moshi panazidi Bukoba kwa kila sifa Wahaya wakipiga ela ukimbilia ng,ambo mimi ni Muhaya ila ukweli Wahaya wenye ela niwabinafsi wanatumia Bukoba kama maziko tu wakifa wanakuja kuzikwa tu.
Acha ujinga wa kutafuta kiki wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom