Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Fatilia hotuba ya Waziri tamisemi mwez9 bungeni ndio utapata jibu. Moshi na Dodoma zitapewa hadhi ya jiji soon
 
1482972447736.png
 
Kweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers
Hahahaa mkuu,
 
Bukoba tena mw
324eec747593f87d3dd82e21e5e0b51d.jpg
estella hotelnzangu bado
cb79c53a575a47dc452ff223e5ed8e04.jpg
bukoba kolping hotel

Acha uongo wewe kaka hii picha ya mwisho unayoita kolping hotel ni THE ARUSHA HOTEL, eish!

Unadanganya picha iweje kwa mfano? Hamuezi kuwa na hotel kama hiyo huko migombani eka picha za ukweliza bukoba
 
Acha uongo wewe kaka hii picha ya mwisho unayoita kolping hotel ni THE ARUSHA HOTEL, eish!
Una uhakika na usemalo hotel hii IPO barabara ya kwenda maruku km 5 kutoka katikati ya mji we wap labda kama za fanana
 
Una uhakika na usemalo hotel hii IPO barabara ya kwenda maruku km 5 kutoka katikati ya mji we wap labda kama za fanana

Picha ya mwisho ni THE ARUSHA HOTEL Stop lying sir! Najua nachokiongea
Nna hakika asilimia 500
 
Acha uongo wewe kaka hii picha ya mwisho unayoita kolping hotel ni THE ARUSHA HOTEL, eish!

Unadanganya picha iweje kwa mfano? Hamuezi kuwa na hotel kama hiyo huko migombani eka picha za ukweliza bukoba
Arusha hotel hii hapa kabla ya kubishi Fanya utafiti labda zinafana
0480eb07fcace9fda217c37ad3fdbe56.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom