Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Baba usihangaike kumshawish mtu bukoba huwez ifananisha na Moshi ikiwa ushafka hzo sehemu,moshi pako vizur mara nyingi zaid ya Bukoba km hutaki shauli yako endeleen kujifariji maana nyie kila kitu kujisismfia,ila kumbuka Moshi ni manispaa na bukoba bado halmaahaur ya Mji wapi na wapi,japo mm cyo wa moshi wala bukoba lkn bukoba big Noo kwa Moshi
 
MOSHI MOJA HIYO...
ILA BAADHI YA WATU WENGI WA MOSHI HAWANA TABIA YA KUPIGA PICHA MAKWAO SABABU YA KUONA KAMA NI KITU CHA KAWAIDA..
ILA KWA KWELI MIJINI SI KUZURI KAMA VIJIJINI...KUMEJENGWA KUKAJENGEKA HASA...

KWA UTUNZAJI WA BUSTANI ZA MAUA NDIO WENYEWE
KWA USAFI NDIO WENYEWE...
HATA KAMA NYUMBA NI YA UDONGO ILA UTAKUTA MAUA YALIYOPANDWA HADI YANAPENDEZESHA NYUMBA NA UA ULIVYOFAGILIWA UTAPENDA...
 

Attachments

  • 03 kibosho.jpg
    03 kibosho.jpg
    16.5 KB · Views: 131
  • 1456920069131.jpg
    1456920069131.jpg
    47.8 KB · Views: 126
  • 1456920046140.jpg
    1456920046140.jpg
    45.6 KB · Views: 128
  • 1456919998753.jpg
    1456919998753.jpg
    55.8 KB · Views: 140
  • KIBOSHO.JPG
    KIBOSHO.JPG
    16.9 KB · Views: 144
  • HAPA NI MARANGU KILEMA BAADHI YA NYUMBA.jpg
    HAPA NI MARANGU KILEMA BAADHI YA NYUMBA.jpg
    15.1 KB · Views: 158
  • nyumbani kwa mdau wa JF HUMU.jpg
    nyumbani kwa mdau wa JF HUMU.jpg
    43.5 KB · Views: 148
  • NYUMBANI KWA MDAU WA JF HUMU 1.jpg
    NYUMBANI KWA MDAU WA JF HUMU 1.jpg
    110.9 KB · Views: 134
Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.

Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?

Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...

Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.

-callmeGhost
Tuligeeee
 
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!
Inyweeee
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Bukoba na Moshi, pote ni migombani.....
 
Yaani unafananisha halmashauri ya mji na manispaa, wapi a wapi ndugu, hivi walioipa moshi hadhi ya manispaa unafikiri ni wajinga.
 
Inabidi uwe umefika Moshi na Bukoba ndio uweze kuchangia.

Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
 
Uzi umeharibika tayari ..Kuna baadhi ya picha ni za iringa, arusha na mwanza
 
Jamani ebu msikinganishe moshi na bukoba ata kidogo.Moshi ni level nyingine papo juu sana.Kabla ujajilinganisha na moshi ebu angalia kama umeweza kuifikia morogoro,Dodoma,iringa,kahama etc kwanza.
Ina maana moshi inaizidi Dom Moro na iringa kama sikosei kahama wanawazidi
 
KUNA BAADHI YA PICHA HAPO SI ZA MOSHI...HAKUNA MILIMA HIYO....MIMI NI WAMOSHI NA HIVYO VIJUMBA VISIVYO ELEWEKA SIO KABISAAA..
Alituma picha za iringa sijui hakusoma uzi unahusu nini ...alikurupuka tu
 
Bukoba tena
853d1e805da00cc4a45c38458f85dab4.jpg
1bf7cf39f5403145072a2bfd12f95c84.jpg
19e1fd5eb87d6a063b3b763f83402e5a.jpg
70fa5cc61b881f6cb49439004187aeea.jpg
94d4f3baf579ee8c7d358c0b9cf9ce91.jpg
195bade4a115117f68460e2f58196165.jpg
b67314e9ac181491382c0f15fa973162.jpg
463bf90fc9e52d967a256337bc3fc626.jpg
dfcb90b5362596755971a5e8434299cd.jpg
6926d08dbc2d0a04f3294636e840007f.jpg
6eb95840460549a9e4ef1c5933343a1d.jpg
2e4613f909394b489887372307c49fa3.jpg
bb3f60c0f99ed95657bd648d69af6b38.jpg
bk hamuiwezi


NATAMANI KM KUNGEKUWA NA MTU YUPO MOSHI ATUPIE PICHA...ILA KWA SABABU WA MOSHI HAWANA UTAMADUNI WA KUJIGAMBA NDIO MAANA WENGI HAWANA PICHA....Huwa mandhari ya kao wanayaona yakawaida sanaaa...
Kwa kulinganisha zaidi ni bora wana JF wangetemelea kabisa maeneo husika...(Utalii wa ndani)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom