Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Ukristu ulianzia Moshi kabla ya bukoba acha ubishi usio na faida ndio maana hadi Leo maaskofu katoliki tz Kati ya y majimbo 34, maaskofu 11 ni.kutoka Jimbo la Moshi
Mapadre walio nje ya nchi nadhani Jimbo la Moshi wanaongoza maana ktk Jimbo la Moshi wastan kila parokia Ina mapadre 2/3 waishio nje

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu Achana na ukristu wa huko bukoba kuna mpaka mtakatifu alietangazwa mtakatifu yohana Maria mzeyi mzaliwa wa kijiji cha kishomberwa minziro wilayani misenyi.ni mtanzania pekee mtakatifu alietangazwa na alikuwa Kati ya mashaidi wa uganda.halafu ukatoliki wa bukoba ndo ulinganishe na moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa wanafurahisha kweli wanavotunisha misuli kumbe zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Zéro kuliko hii?
Moja ya shule za kagera
FB_IMG_15490019553761321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha eti stand ya mabasi ya shirika la reli kwahiyo reli huwa zinapaki stand? Hahaha sina mbavu
haya hebu niwekee picha za stand za hiyo mikoa mingine za enzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Reli kupaki stand unamaanisha nini?Watoto wa mliozaliwa miaka ya 2000,mna tabu sana.Kitu kama hujui uliza upate faida.Usijifanye "much know".

Miaka ya nyuma shirika la reli lilikuwa na mabasi yakitoa huduma za usafiri kuunganisha na mikoa isiyounganishwa na reli ya kati.Mfano Dar - Iringa,Itigi(Singida) - Mbeya n.k.

Usafiri huu wa mabasi ulikuja kufa mwaka 1990.
 
Reli kupaki stand unamaanisha nini?Watoto wa mliozaliwa miaka ya 2000,mna tabu sana.Kitu kama hujui uliza upate faida.Usijifanye "much know".

Miaka ya nyuma shirika la reli lilikuwa na mabasi yakitoa huduma za usafiri kuunganisha na mikoa isiyounganishwa na reli ya kati.Mfano Dar - Iringa,Itigi(Singida) - Mbeya n.k.

Usafiri huu wa mabasi ulikuja kufa mwaka 1990.
Haya sitaki maneno mengi niwekee picha za stand za mabasi za hiyo trc kwa mikoa mingine kwa kipindi hicho ili tuthibitishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hii ni vita ya wachaga na wahaya, ngoja sisi wengine tukae pembeni. Lakini nasikia aliyesema Mosi hawajaendelea ni Polepole sasa hapa Wahaya wameingiaje?
Wameingia kwenye 18 zetu mkuu waache tuwanyooshe hadi wakome
PichNi chini ni mangi mkuu mareale (masters holder) akiwa na mtoto wa Queen Elizabeth alipokutana nae ktk ikulu ya Moshi mwaka 1952
FB_IMG_15465092686845742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom