Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,463
- 1,917
Huyu jamaa aliimba vzr mnooo siku ya kwanza
Lkn jana kazingua
Sasa sijui woga au laah
Lkn jana kazingua
Sasa sijui woga au laah
Kwa anayefahamu muziki, hapo hataangalia sana jinsi alivyoimba bali hiyo sauti! Ni very powerful voice, na ni wachache sana wanakuwa na sauti yenye nguvu namna hiyo!! Hiyo ni sauti ya kuzaliwa nayo, mengine YOTE yanafundishika!
Nimewaambia huyo jamaa kuimba bado sanaaa.. ajikaze na ajaribu kutengeneza vocal vizurihuyo dogo gitaa tu lakini hana uwezo kuimba, kuna vichwa kama vitatu vina vocal moja hatarii!!..
Hawajui mziki wanamuonea huruma huyo vocal hana kabisa... Ata guitar pia anapiga kawaida tuuu.. aendelee kuwaburudisha watu mtaani sio kwenye mashindano makubwaAtoe gitaa .anaimba kawaida sana wabongo sijui wakoje
Hapo hayupo kufundishika akajifunze upya aje mwakani... Vocal bado japo anatoa sautiKwa anayefahamu muziki, hapo hataangalia sana jinsi alivyoimba bali hiyo sauti! Ni very powerful voice, na ni wachache sana wanakuwa na sauti yenye nguvu namna hiyo!! Hiyo ni sauti ya kuzaliwa nayo, mengine YOTE yanafundishika!
Anaimba kawaida mkuu usipepese machoHuyu jamaa aliimba vzr mnooo siku ya kwanza
Lkn jana kazingua
Sasa sijui woga au laah
Maana yake kapata kura chacheKwani huyu jamaa wamemtoa BSS sasa maana yake nini?
Wabongo washasahau yale ni mashindano, wameanza uangalia umaskini wa dogo kama kigezo!..Nimewaambia huyo jamaa kuimba bado sanaaa.. ajikaze na ajaribu kutengeneza vocal vizuri
Sauti ikipata mwalimu na mazoezi ya kutosha huyu dogo atawakimbiza.Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
Sauti si itatengenezwa studio mkuuAtoe gitaa .anaimba kawaida sana wabongo sijui wakoje
Kweli kabisa Kuna mtu hapa alikuja na thread ya huyu kijana na kusema huyo dogo atakuwa ndio mshindi wa bongo star search nikamwambia huyo dogo ana vocal ya kawaida ila gitaa ndo linambeba.Atoe gitaa .anaimba kawaida sana wabongo sijui wakoje
Aliwakomesha kweli kweliWatu kama hawa Salama alikua anawaambia imba bila gitaa.
Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!Hapo hayupo kufundishika akajifunze upya aje mwakani... Vocal bado japo anatoa sauti
Ndio akapate mwl arudi tenaSauti ikipata mwalimu na mazoezi ya kutosha huyu dogo atawakimbiza.