BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

Anaimba kawaida.. binafsi namuona wa kawaida tuu sanaa
Kumbuka hapo bado hajaingia darasani kufundishwa muziki so KWA uimbaji wake akikutana na mwalimu mzuri akamfundisha akaiva I see some potential from him,unamjua nandy WEWE? Huyu alifundishwa kuimba from the sracth na sasa ni star
 
Kwa hapa East Africa ilikuwepo Tusker project fame na huyo dogo angekutana na vichwa kama IAN sidhani kama angechukua round kutolewa...

unaongea vizuri sana haswa katika vocal ranges lakini huyo jombaa hana POWERFUL VOICE, anaimba plain na hajaonesha uwezo wowote wa kuimba katika higher notes ambazo ndo huonesha ile power ya sauti.

Dogo ni talented kiasi lakini yupo overhyped na kama unajua maana ya POWERFUL VOICE je, huyo jombaa anaweza kukaa category moja na RUBY, BEKA IBROZAMA au PETER MSECHU ???...
Unaweza ku-anticipate energy yake kutokana na anavyoimba bila kutumia nguvu huku sauti ikiwa inatoka bila tatizo lolote! Look at him jinsi alivyo-relax. Binafsi sijaangalia hili shindano lakini jana nilipitia page ya BSS na kuona clips zake zingine, na zote yupo kwenye state ile ile: relaxed but sauti inatoka bila ngwengwe!! Hiyo ni hazina kubwa sana kwa msanii manake kama nilivyosema hapo kabla, mengine yote yanafundishika!!! Sauti kama huna, huna tu! Utakula sana mayai mabichi, enzi zetu utaenda beach kila siku kupiga yowe, lakini yote hayo yatakusaidia tu studio lakini ukiwa Live, utaumbuka tu!!

Na moja ya sifa kubwa za powerful voice sio tu kusikika with high pitch kama vile wanavyosika akina Rubby bali kuweza kusikika bila kuwa na hofu ya kuishiwa pumzi! Sioni ni namna gani yule dogo anavyoweza kukata pumzi!
 
kuimba huku unapiga gitaa si kitu poa..naona watu hili suala wanachukulia utani utani wanadhani rahisi tu..
Of course, jinsi watu wanavyozungumzia kirahisi kwamba Guitar linambeba, I wish wao wangejaribu kuimba bila guitar kisha waimbe kwa kucharaza guitar bila kujali wanacharaza right tune, ndipo wangeona ugumu uliopo!!
 
Unaweza ku-anticipate energy yake kutokana na anavyoimba bila kutumia nguvu huku sauti ikiwa inatoka bila tatizo lolote! Look at him jinsi alivyo-relax. Binafsi sijaangalia hili shindano lakini jana nilipitia page ya BSS na kuona clips zake zingine, na zote yupo kwenye state ile ile: relaxed but sauti inatoka bila ngwengwe!! Hiyo ni hazina kubwa sana kwa msanii manake kama nilivyosema hapo kabla, mengine yote yanafundishika!!! Sauti kama huna, huna tu! Utakula sana mayai mabichi, enzi zetu utaenda beach kila siku kupiga yowe, lakini yote hayo yatakusaidia tu studio lakini ukiwa Live, utaumbuka tu!!

Na moja ya sifa kubwa za powerful voice sio tu kusikika with high pitch kama vile wanavyosika akina Rubby bali kuweza kusikika bila kuwa na hofu ya kuishiwa pumzi! Sioni ni namna gani yule dogo anavyoweza kukata pumzi!

Unaweza kuwa unaimba plain but beautifully na ukiongezea low pitch inaweza kumfanya mtu kuonekana yupo vizuri,

ukirudi kwenye power ya sauti ni lazma uangalie nota ngapi katika high pitch mtu anaweza kuzifikia either umerelax au haujarelax. Kingine ni ngumu kupiga high pitch ukawa umetulia unless hujawahi hata kujaribu kuimba

Pia sauti za kurelax nyingi husound beautifully haswa katika chumba kidogo maana mtu anatumia zaidi mdomo na koo lakini high pitch lazma tumbo lihusike

hivyo, power ya sauti huwezi kuipima mtu akiwa karelax na low pitch yake
 
Dear Hamisi!
Hakuna mtu aliyeibeba kesho yako, bali kesho yako umeibeba wewe mwenyewe. Wewe mwenyewe ndo ufahamuye kesho yako unataka iweje na ndoto zako unazifahamu wewe mwenyewe. Hivyo usiruhusu mtu/watu wazime ndoto zako. Amini katika mapambano yako na amini pia katika magumu unayopitia kesho yako utaiona. Kama njia moja imejifunga tafuta njia ingine. HATIMA YA MAISHA YAKO UMEIBEBA WEWE MWENYEWE
 
Uyu kijana yuko vizuri sana. Aende akatafute mwalimu ajifue zaidi kwasababu uwezo anao.Mnaosema ni wakawaida hamjamsikiliza sawasawa inawezekana mnamsikiliza uku mkilinganisha tune yake na tune ya nyimbo anazoimba ambazo kimsingi tune zake zinajulikana kwaiyo lazima utaona haimbi vizuri lakini ukimsikiliza kwa tune yake binafsi lazima uone kitu cha ziada.
 
Back
Top Bottom