BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!

Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!
Inshort kwenye hayo mashindano wapo wanao imba zaidi yake bado huyo kijana akapate mwl ata Barnaba atamsaidia
 
Ndio akapate mwl arudi tena
Yaani we jamaa sidhani kama unafahamu maana ya talent search!! Na moja ya makosa wanayofanya waandaaji wa BSS ni kuangalia "anayeimba vizuri" kumbe talent search is more than kuimba vizuri! Mtu unaweza kuwa na sauti ya kawaida kabisa, uka-practice nyimbo za watu na ukaziimba vizuri na kuamini "huyu ndie hasaa"! Matokeo yake ndiyo haya; sidhani kama kuna aliyewahi kushinda BSS akaja kutusua kwenye game, na wanaofanya vizuri kwenye game ni ama waliokuwa wameondolewa mapema au waliofika fainali lakini sio kushinda!!
 
Hicho ndio kitu pekee Hamis anacho vocal haimbii puani kijana yupo vizuri hawa kina madam Lita wanaangalia business siyo vipaji uyu dogo uwepo wake wanahisi atawaharibia biashara cause watu hatutatizama wengine so ushindani utapotea dawa dogo atoke tuanze bahatisha bahatisha
Exactly, na ndicho ninachokisema hicho! Yaani kwa Talent Manager anayetafuta vipaji, huyo ndie hasa anaweza kuwa kwenye top pick!
 
Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!

Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!
Maoni yako ni mazuri kwa wale wanaotafuta msanii katika aspect ya kibiashara ila bongo star search ni mashindano na wanachoangalia pale performance ya siku ndio itakayo kuadhibu na si nyuma ulifanyaje.ukija kwa huyo dogo alikuwa poor compare na wenzake ndo maana akatolewa.
 
Na ndo maana kwenye posts zangu nilikuwa nasisitiza kwa mtu anayetafuta "talent" kwa maana ya tealent! BSS hawatafuti talent bali wanatafuta "anayeimba vizuri" kwenye session husika na ndio maana washindi wake wengi kama sio wote, wanakuwa hawafiki mbali!! Na kwa bahati mzuri, ni bora hawaiti Talent Search bali Star Search!!!
 
Yaani we jamaa sidhani kama unafahamu maana ya talent search!! Na moja ya makosa wanayofanya waandaaji wa BSS ni kuangalia "anayeimba vizuri" kumbe talent search is more than kuimba vizuri! Mtu unaweza kuwa na sauti ya kawaida kabisa, uka-practice nyimbo za watu na ukaziimba vizuri na kuamini "huyu ndie hasaa"! Matokeo yake ndiyo haya; sidhani kama kuna aliyewahi kushinda BSS akaja kutusua kwenye game, na wanaofanya vizuri kwenye game ni ama waliokuwa wameondolewa mapema au waliofika fainali lakini sio kushinda!!
Yule dogo ana talent gani?
 
Na ndo maana kwenye posts zangu nilikuwa nasisitiza kwa mtu anayetafuta "talent" kwa maana ya tealent! BSS hawatafuti talent bali wanatafuta "anayeimba vizuri" kwenye session husika na ndio maana washindi wake wengi kama sio wote, wanakuwa hawafiki mbali!! Na kwa bahati mzuri, ni bora hawaiti Talent Search bali Star Search!!!
Kuimba vizuri nayo talent.yule dogo hana
 
Mimi niseme ukweli.. Watanzania wanajua kupaisha sana... Mimi nimeangalia pale BSS kuna watu wanajua zaidi yake

Kuna dada mmoja ana umbo namba 9.. Anaimba vizuri sana
 
Doo, kweli bongo batimbaya, yaan munampigia promo hyu chalii kuwa anajua kuimba??? Acheni masihara nyie.
 
Huyo labda kupiga gitaa ila kuimba.. Hapana!!
 
!
!
Ningetamani Kuona Mashindano Haya Yakibadika Namna Yanavyofanyika.

1. Majaji Wawe Wanatoa Maksi Kati Ya Moja Hadi Kumi. Wapewe Karatasi Kisha Wainue Kwa Pamoja Na Wasikae Karibu Karibu Ili Kila Mtu Aamue Bila Kuathiriwa Na Maamuzi Ya Mtu Mwingine.

2. Majudge Wasiwaone Washiriki Kabla Ya Kuamua. Iwepo Namna Muonekano Wa Mtu Usiathiri Maamuzi. Waimbe Wasikike Wapewe Maksi Zao Basi Wasepe.

3. Ikiwezekana Washiriki Watokee Kwenye Studios Mbalimbali. Sio Kuokotwa Okotwa Tu Huku Na Huko Kama Ilivyo Sasa.
 
Kuimba vizuri nayo talent.yule dogo hana
Yule dogo ana talent gani?
Kila mtu anajua kuimba, kwa kutumia uwezo wa vocal range aliyonayo! Ungekuwa unaujua muziki, ungeelewa hoja yangu ni ipi lakini inaonesha huna ufahamu wa kutosha kwenye muziki! Binafsi hiyo BSS sijawahi kuingalia na hiyo clip hapo juu ndiyo clip yangu ya kwanza kuiona kwa mwaka huu lakini inatosha kabisa kwangu kusema with confidence kwamba huyo dogo ana kitu ambacho hata wasanii wengi walio kwenye game TZ hawana!!!

Kwamba "ana talent gani" katu hutaweza kunielewa kama umeshindwa kunielewa hapo juu!!
 
Back
Top Bottom