BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.

Gitaa tu linambeba ila uwezo wa kawaida tu mbona.
 
Uwezo wake ni mdogo tuu lakini hakuna cha maajabu kabisa zaidi ya gita!
 
Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!

Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!
In short, huyo jamaa ukiacha gita, umasikini wake na hiyo barakashia. Ana uwezo wa kuimba unasikia neno mojamoja kama lilivyo na kwa sauti na pia hatumii nguvu kufanya hivyo.

Japo (melody) yake sio nzuri na wala haivutii bali utamu ni pale unaposikia neno mojamoja kwa ufasaha na halazimishi kwenda na beat.

Ni hayo kwa uchache....anafaa!
 
Huyo Mimi namzidi mbali sana kuimba
 
Hivi kuna watu bado mnaangaliaga bi esi esi?
 
In short, huyo jamaa ukiacha gita, umasikini wake na hiyo barakashia. Ana uwezo wa kuimba unasikia neno mojamoja kama lilivyo na kwa sauti na pia hatumii nguvu kufanya hivyo.

Japo (melody) yake sio nzuri na wala haivutii bali utamu ni pale unaposikia neno mojamoja kwa ufasaha na halazimishi kwenda na beat.

Ni hayo kwa uchache....anafaa!
Hapo nilipo-bold; watu wanashindwa kabisa kupaona, na ndo maana nikasema dogo amejaaliwa high vocal range inayomwezesha kuimba kwenye note yoyote ile comfortably; yaani bila kutumia nguvu! Mengine uliyotaja yanafundishika kirahisi kwa sababu hata kwa wenzetu, ni kawaida sana mtu kutengenezewa melody!

Watu wanashindwa kufahamu ni kwanini wasanii wetu wanashindwa kuimba live! Tatizo la msingi lipo hapo, kwa sababu, wakiwa studio mashine zinafanya kazi kuziba gaps lakini unapokuwa live, hakuna mashine! Sasa kama studio uliimba range ngumu kwako lakini ukasaidiwa na computer, ukipanda jukwani lakini ikutoe nishai!!!
 
Hakuna kitu hapo... Kama mnamuonea huruma kutokana na muonekano wake mchukueni..

Akapige Kwa mabirthday huko vijini labda.
 
Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.

Wamesikia maoni yetu wameweka link ya kupiga kura arudi ama asirudi. Mimi nishampigia kura arudishwe.
 
Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.

Angepita ningeamini Tz hamna vipaji.
WaTz acheni kupumbazwa na gimmicks.
 
Hapo nilipo-bold; watu wanashindwa kabisa kupaona, na ndo maana nikasema dogo amejaaliwa high vocal range inayomwezesha kuimba kwenye note yoyote ile comfortably; yaani bila kutumia nguvu! Mengine uliyotaja yanafundishika kirahisi kwa sababu hata kwa wenzetu, ni kawaida sana mtu kutengenezewa melody!

Watu wanashindwa kufahamu ni kwanini wasanii wetu wanashindwa kuimba live! Tatizo la msingi lipo hapo, kwa sababu, wakiwa studio mashine zinafanya kazi kuziba gaps lakini unapokuwa live, hakuna mashine! Sasa kama studio uliimba range ngumu kwako lakini ukasaidiwa na computer, ukipanda jukwani lakini ikutoe nishai!!!

Kwa hapa East Africa ilikuwepo Tusker project fame na huyo dogo angekutana na vichwa kama IAN sidhani kama angechukua round kutolewa...

unaongea vizuri sana haswa katika vocal ranges lakini huyo jombaa hana POWERFUL VOICE, anaimba plain na hajaonesha uwezo wowote wa kuimba katika higher notes ambazo ndo huonesha ile power ya sauti.

Dogo ni talented kiasi lakini yupo overhyped na kama unajua maana ya POWERFUL VOICE je, huyo jombaa anaweza kukaa category moja na RUBY, BEKA IBROZAMA au PETER MSECHU ???...
 
Hivi unajua nilichoongea wewe?! FYI, kwa Talent Manager/Agency anayejua muziki, kwa mashindano kama hayo anaweza kumchukua mwenye powerful voice, na energy ya kutosha kama alivyosema my girl Khantwe hapo juu na kumwacha anayeimba vizuri lakini amekosa hivyo vitu!!

Muziki unafundishika, na ndio maana Harmonize ambae aliimba hovyo sana pale BSS, alipooenda WCB na kukaa miaka miwili akipikwa, leo hii anasumbua kwenye game! Nilichosema kuhusu huyo dogo ni powerful voice inayoashiria kuwa na higher vocal range! Unaweza kuimba vizuri lakini ukawa na low or medium vocal range! Mtu mwenye higher vocal range anaweza kuimba wimbo wowote ule kwa sababu ana uwezo wa kupanda na kushuka, lakini mwenye vocal range ya kawaida, anapata shida sana kupanda, na ukimsikiliza utaona tu anavyo-struggle! Ukiwa studio, hakuna tatizo manake hivi sasa digital faking zimejaa studio lakini ukiwa kwenye live ndipo unapokuja kupata shida hapo!
Waooh bro muziki unaujua,watu weengi hawajui watu kama hawa wakina hamisi ambao hawaimbii puani km kina baraka da prince wakipata vocal coach mzuri wakawa trained wanakuwaga hatari sana
 
Back
Top Bottom